KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 30,260
- 69,444
Ukiwa chini ya sheria (katiba) nivigumu kuwa huru asilimia mia!,ila katiba yako ndio itakupangia asilimia za uhuru wako.
kama nchi mnakatiba ni muhimu kujua ni asilimia ngapi katiba yenu inawapa uhuru na nyie mlihitaji uhuru kiasi gani.
huru inamaana kuwa huru ktk kila kitu lkn tunaishi ktk misingi ya sheria hivyo hatuko huru asilimia mia,tuko ktk uhuru wa mipaka.
nivyema kila mtu kulitambua hilo kuliko kukaa na kupayukapayuka tu unaweza jiweka mkenge tena!
kama kuna viongozi wanabana uhuru wenu kwa kuvunja katiba na hamuwashughulikii basi na nyie mnachangia ktk kujibania uhuru wenu!.
kwahiyo ktk swala la ubanwaji wa uhuru hata wananchi pia hujibana lkn huishia kulalama mitaani lkn unakuta katiba inaruhusu kiongozi alievunja sheria pia atiwe hatiani.