Ni ngumu kumwacha/Kumsahau mwanamke anaekupa Papuchi kila mara unapoitaka

Tena upata wachangiaji wengi sana
amaa kweli kuna siri kubwa sana kati ya hivi vikojoleo. yani unakuta mtu saa 12 asubuhi anaingia tu jf anatype papuchi zinakuja nyuzi kibao haijiulizi hii ya lini anaaza kupalramia na kucoment tu, mwisho uzi unafufuka kutoka makaburini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama mada inavyojieleza

Nimefanya kautafiti kadogo toka mwaka Jana kupitia mademu zangu tofauti tofauti na karibia wote warembo

Ila mpaka sasa nimebaki na wawili tu na hawa wamekua wakinipa papuchi muda wowote ninaotaka

Hawa hata kuwapa hela sioni tabu kabisa kwa sababu hawaninyimi utamu wao

Wengi nimewaacha sababu ya kunipangia muda wa kunipa papuchi na kujifanya wako busy

Demu akininyima papuchi kwangu hana thamani na namsahau haraka sana .

Ila akiwa ananisogezea papuchi kila wakati nakuwa ngumu kumsahau hata nikipanga kumwacha najikuta automatically nashindwa .
 
amaa kweli kuna siri kubwa sana kati ya hivi vikojoleo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna nguvu ya kiroho.
Ndo maana wataalamu,pia dini,pia mila ukataza watu kukojoleana kwanza kabla ya ndoa Ili kuepuka kuoa garasa,utamu uzuia kuona mabaya ya mtu, kwenye ndoa utamu unaisha yanabakia mazoea,ndo hapo unapogundua tabia ya mwenzio sio kifuatacho kuachana.
Sababu mlivutwa na muunganiko wa utelezi na sio muunganiko wa maadili ya ndoa
 
hii kweli kabisa mkuu ,mimi kuna demu nilikua simuelewi kabisa namchukulia kama msela ,yeye akawa ananielewa mnoo mpka ananitamkia ,basi si nikasema ngoja niloweke mara moja tu.aah si nikajikuta nabadili gia angani nanza kujiona nampenda, demu alinipenda mno yani ilifika mahali yeye ndo anaomba game na sio mimi, yule mwanamke aliniteka sana sasa sema alipokuja kuharibu alipoanza kuzungumzia swala la mimi kumuoa hapohapo nikapiga chini ,sikuruhusu kabisa hisia ziniendeshe maana nilijua kabisa huyu nimependea kitobo tu. sema sometimes nammiss sana kwakweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna demu nilikuwa namtaman kinyama nikawa najiuliza hivi naweza kumpata kweli?? Toka 2018, mwaka huu nikaomba namba, akasita, baadae nikakumbushia akatoa namba, siku 2 yake nikamkaribisha geto akakubali, ila alipokuja alikataa kusex, nikasema poa.

Kesho yake nikamset akakubal kusex, akaja mazima kulala..MA**E kwenye 6×6 boya..

1 hanyonyi koni
2 hatak kuzamiwa chumvini
3 hajui kukatika
4 anasex style 1 tu, kito Cha mende

Nilitamani liondoke tu lisilale kwangu, haliko romantic chumban mother***ker

WANA JAMII FORUMS, TUSIFANYE MAKOSA TENA OCT 2020
ni demu wa kihaya?
 
Kama mada inavyojieleza

Nimefanya kautafiti kadogo toka mwaka Jana kupitia mademu zangu tofauti tofauti na karibia wote warembo

Ila mpaka sasa nimebaki na wawili tu na hawa wamekua wakinipa papuchi muda wowote ninaotaka

Hawa hata kuwapa hela sioni tabu kabisa kwa sababu hawaninyimi utamu wao

Wengi nimewaacha sababu ya kunipangia muda wa kunipa papuchi na kujifanya wako busy

Demu akininyima papuchi kwangu hana thamani na namsahau haraka sana .

Ila akiwa ananisogezea papuchi kila wakati nakuwa ngumu kumsahau hata nikipanga kumwacha najikuta automatically nashindwa .
Ukute pia hujasimam vizuri kiuchumi na anakupea na shida zako hivyo hivyo aloo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom