Ni neno gani linalotumika humu JF toka ujiunge linakuchekesha sana

Wakuu habari,toka nijiunge humu JF nmekutana na maneno/misamiati kadhaa inayonivunja mbavu ,neno linalonichekesha zaidi ni “Chai” yani mtu akisema hii chai kabisa nacheka sana.
Wewe je ni neno gani ulilolikuta humu linakufurahisha sana?
popoma
 
Shipa la kimkakati
 
Back
Top Bottom