Ni neno gani linalotumika humu JF toka ujiunge linakuchekesha sana[emoji23]

kagombe

JF-Expert Member
Mar 1, 2015
3,427
2,000
Wakuu habari,toka nijiunge humu JF nmekutana na maneno/misamiati kadhaa inayonivunja mbavu ,neno linalonichekesha zaidi ni “Chai” yani mtu akisema hii chai kabisa nacheka sana.
Wewe je ni neno gani ulilolikuta humu linakufurahisha sana?
popoma
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom