Ni Ndoto Kwa Waafrika Weusi Kujikomboa!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni Ndoto Kwa Waafrika Weusi Kujikomboa!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Boflo, Feb 12, 2011.

 1. Boflo

  Boflo JF-Expert Member

  #1
  Feb 12, 2011
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 4,394
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Nitataja baadhi ya sababu zinazotufanya Waafrika weusi tuwe nyuma
  kwa kila kitu..
  na wewe unaweza ukaongezea zako and i dont mean all but most of us (95%)
  1-Ni waoga na hatuna ujasiri.
  2-Tunapenda sana starehe,
  kucheza ngoma na kubana pua.
  3-Dhamira zetu haziko katika ukombozi wa dhati, endapo tutaandamana,
  target yetu kubwa itakuwa ni kuiba na kudhuriana kati yetu.
  4-Tunapenda sana fitina, majungu na kujipendekeza.
  5-.................
   
 2. GAMBLER

  GAMBLER JF-Expert Member

  #2
  Feb 12, 2011
  Joined: Nov 22, 2009
  Messages: 303
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hapo mkuu Boflo kweli tupu umenena.....nakupa 5, kwa kuongezea pia tuna udini sana
   
 3. N

  Nancy Tweed Senior Member

  #3
  Feb 12, 2011
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 123
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Umeongea upuuzi mtupu hapo. Sababu zinazofanya mwafrika kuwa nimezitaja katika ile thread ya jana/juzi 10/11 feb 2011; ambayo kuna mtu aliweka waraka wa mapadri na wachungaji. Na ndiyo maana ile thread imeondolewa haraka sana baada ya mimi kuziandika sababu zinazomfanya mwafrika kuwa hivi alivyo.
   
 4. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #4
  Feb 12, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,781
  Likes Received: 83,138
  Trophy Points: 280
  Nimekuwa nafuatilia matukio ya Misri na kufurahishwa sana na mwili kusisimka kutokana na ujasiri wa hali ya juu waliuonyesha. Pamoja na kuwa kuna mauaji yalifanyika, wengine kukamatwa na wengine kuumizwa na hata kupata ulema lakini hawakuogopa kabia kila siku iendayo kwa Mungu walikuwa wanaingia mtaani na hatimaye kuweza kurimiza adhma yao ya kumuondoa fisadi Mubarak madarakani

  Kujipendekeza ndiyo watu kama akina malaria sugu, mwiba na wengineo wengi tu ndani ya CCM na Serikali. Unashangaa wengine ni wasomi wa hali ya juu lakini wako radhi wafumbie macho madudu yanayofanywa ili mradi tu wananeemeka kwa njia moja au nyingine katika kupata mkate wao wa kila siku. Hawaangalii "the big picture" ya kuinua maisha ya walio wengi ali mradi wao wameridhika basi waliobaki watajiju, labda kwa haya matukio ya Tunisia na Misri kutakuwa na mabadiliko katika hili la ujasiri na kujipendekeza.
   
 5. Boflo

  Boflo JF-Expert Member

  #5
  Feb 12, 2011
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 4,394
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Ukweli unauma.....pole sana
   
 6. tovuti

  tovuti Senior Member

  #6
  Feb 12, 2011
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 160
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kweli mkuu , inauma sana,lakini ndio ukweli..tunatakiwa tukubali ukweli...na tujirekebishe, wakati wetu utafika
   
 7. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #7
  Feb 12, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  hiyo heading imekaa kipropaganda.

  sasa ngoja nisome contents.
   
 8. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #8
  Feb 12, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Hivi kwa nini mnakuwa wepesi kusahau? Hivi mnataka kusema kumuondoa kaburu aliyetawala miaka 300 was such an easy task kuliko kumn'goa Mubarak? China ambako serikali ikiamua inasoma mpaka email zako ni lini walifanya meaningful uprising? Hivi Pol Pot alikuwa anawafanyia ukatili watu weusi, na kwa nini iliwachukua muda mrefu ti get rid of him? What about Burma, Saudi Arabia?
   
 9. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #9
  Feb 12, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  tuna roho za kinyama. hasa viongozi kwani wao wanaamini njia nzuri ya kujilinda ni kuuwa wanaowapinga. rejea mauwaji ya yaliyofanywa na wanajeshi watiifu kwa Didas Kamara.

  my take: (correct me if am wrong)
  siku 18 za ukombozi wa Egypt. sikusikia kitu kinachoitwa looting. kijana una hoja.
   
 10. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #10
  Feb 12, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  You are very wrong, watu walishaingia mpaka kwenye national museum? Hivi unafikiri ile sungusungu ilianzishwa kwa nini mitaani baada ya polisi kuingia mitini?
   
 11. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #11
  Feb 12, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  walikuwa wanatafuta sanamu la Mubarack. hiyo siyo looting
   
 12. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #12
  Feb 12, 2011
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,962
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  This is utterly rubbish!!
  Wakati wako watanzania , wanaojulikana wanafanya maajabu katika uchumi na maendeleo mkuu unaandika defeatis thinking?
  Itakuwa vema wewe mwenyewe ujipime na kuona umejiendeleza vipi kimaisha na kiuchumi, dont look at what you cannot achieve, be positive and the sky is the limit.
  Majungu ,fitina na kujipendekeza ni ya yule mwenye muda huo na hana cha kumuweka busy-mtu mvivu, differentiate yourself from this group and work hard.
   
 13. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #13
  Feb 12, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Unajua kinachonishangaza ni pale watu wanapopenda kujumuisha mambo kijumla jumla tu! It's such a pathetic trend!
   
 14. Boflo

  Boflo JF-Expert Member

  #14
  Feb 12, 2011
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 4,394
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Ukiona mtu anazima anang'aka... Ujue nimekushika ndipo....and that is my point
   
 15. n

  ngoko JF-Expert Member

  #15
  Feb 12, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 574
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Tunapenda Kusifia viongozi kwa unafiki , huku mioyoni tukiumia lengo ni kujipendekeza na kupata mkate wa siku ...
   
 16. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #16
  Feb 12, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Hapa ndugu yangu imechemsha kidogo, kuingiza waliomo na wasiokuwemo. Fikira kama hizi zilikuwa (na zinaendelea kutumiwa) zinatumiwa na wakoloni ili kumdharau na kumdhalilisha Mwafrika mweusi. Nashangaa kumwona Mwafrika mweusi akiwa na mawazo kama haya.
  Itakuwa umesahau au huoni juhudi za Waafrika weusi waliokufa kuitetea Afrika, wanaoendelea kuteswa, wanaotoa hata tone lao la mwisho kwa maslahi ya Afrika na Waafrika. Kwa upande mwengine, Mubaraka, Ben Ali, Gaddaffi, Hassan wa Morocco na viongozi wengine wa "Afrika Nyeupe", wana damu nyeusi? Tusijumuishe, tumwone kila mtu kama ni nafsi moja moja kuliko kuwaingiza wote katika jungu moja.

  Haya ni mawazo tuliyolishwa na wageni ilituendelee kujiona duni na kuwapa fursa wale wasiokuwa na nia njema kwa Afrika, wakiwemo wageni na wenyeji? Ukombozi wa kwanza wa Afrika ni kujinasue na mawazo mgando kama haya.
   
 17. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #17
  Feb 12, 2011
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,962
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  sawa mkuu but this is a non entity, and I wont invest any thinking into this contribution.Kuna hela ya kutengeneza on the other side, come this side
   
Loading...