Ni nchi gani Africa kusini mwa sahara inaonyesha matumaini ya kuondokana na ushithole?

labda sifa za kuondokana kuitwa usheetehole ni zipi ? tukijua hivyo majibu ya wachangiaji yatakuwa yana vielelezo ambatanishi.sikusema tu nchi flani kiushabiki.
 
What do you mean? Yes,there is a large number of Dollar Milionares in India than in Sweden and Finland Combined together. India has about 3 Million Dollar Milionares as compared to 89 for Sweden and 68 for Finland.
Mpaka mwaka 2021, wahindi milioni 400 wanaishi kwenye umasikini uliopitiliza(wanashindea kupata mahitaji kama chakula, malazi nk).

GDP per capita (yaani pato la mtu mmoja mmoja) ya India ni $1,900 (mwaka 2020).

Wakati GDP per capita ya Sweden 51,900 mara 27 ya pato la India. Wakati Finland ni $49,000

Hii inamaanisha Finland na Sweden ni developed economies na asilimia kubwa ya watu ni middle income.

Wakati India ni nchi masikini inayoendelea na sehemu kubwa ya watu wanaishi kwenye umasikini na ni lower income earners na Pia nchi inayoendelea kama tz.

Lakini Pia haotoshi taarifa zako hazipo sahihi kuhusu idadi ya millionaires za india, Sweden na Finland.

Idadi ya millionaire Kwa hizo nchi tatu.

India 697,655 Sawa na 0.1% ya raia WA india

Sweden 570,439 Sawa na 7% ya wasweden.

Finland 85,114 Sawa ya 5% ya wafinland.
Ref. https://www.credit-suisse.com/media.../publications/global-wealth-databook-2021.pdf

List of countries by the number of millionaires - Wikipedia

Hii inatosha kuniambia India kuna income inequality na wahindi wengi wanaishi maisha mabovu kama Tu huku Africa, hiyo GDP kubwa inachagizwa na wingi wao, ni kama Tu Tanzania na Seychelles.
 
Ukitoa Africa Kusini,yenye hiyo chance ni KENYA na GHANA tu

Tanzania tulikua nayo ila tumeenda kusiko

Nigeria inakabiliwa na population problem na wizi

Angola politically unstable,viongozi wanajiwekea hela sana

Mauritius sijui Botswana,vinchi vidogo haviwezi kua superpower kabisa
Kenya? Nooo
 
Back
Top Bottom