Mwanahabari wa Taifa
JF-Expert Member
- May 27, 2020
- 1,450
- 799
OkHivi vyama hua huanIzishwa kama CCM ndogo...

Mama aluta continueNi nani yuko nyuma ya Chama hiki kipya Cha Siasa cha 21 Tanzania.
Bahati mbaya sana wanaoanzisha vyama hivi wanashindwa kabla ya kuanza.
Ukweli ni kwamba CCM hakuna wakuitoa kwa sasa kwa mamna ilivyo na sera na dira zinazoeleweka.
CCM ni chama zao la kutafuta maendeleo na haki ya kila Mtanzania ndio maana inapendwa sana.
Vyama hivi ni mazao ya migogoro Ndio maana havifiki mbali kama itakavyokuwa kwa CCKD.
#Usipoteze muda wako baki CCM.
View attachment 2028113
Ni nani yuko nyuma ya Chama hiki kipya Cha Siasa cha 21 Tanzania.