Ni nani wako nyuma ya Usajili wa Chama kipya cha CCKD-Tanzania?

Mwananchi Huru

JF-Expert Member
Nov 20, 2021
1,446
998
Ni nani yuko nyuma ya Chama hiki kipya Cha Siasa cha 21 Tanzania.

Bahati mbaya sana wanaoanzisha vyama hivi wanashindwa kabla ya kuanza.

Ukweli ni kwamba CCM hakuna wakuitoa kwa sasa kwa mamna ilivyo na sera na dira zinazoeleweka.

CCM ni chama zao la kutafuta maendeleo na haki ya kila Mtanzania ndio maana inapendwa sana.

Vyama hivi ni mazao ya migogoro Ndio maana havifiki mbali kama itakavyokuwa kwa CCKD.

#Usipoteze muda wako baki CCM.

photo_2021-11-30_01-32-49.jpg
 
Attachments

  • PENDEKEZO_LA_KUUNDA_NA[1].pdf
    1.5 MB · Views: 19
Nan anaipenda ccm!! Weka tume huru ya uchaguze ndo ujue Kama inapendwa au haiprndwi. Hata juzi tu polisi wamezui mkutano wa chadema eti tishia la ugaidi. CCM wanajua nguvu ya chadema ndo mana hawataki kabisa kuruhusu mikutano Ila Shaka anaruhusiwa kufanya mikutano.

Ccm imeshajiishia imebaki inategemea polisi tu ili kubaki madarakani ndo mana wakisikia time huru au Katina mpya wako radhi waue kila mtu anayechomozakudai Katiba mpya Mana ndo salama yao
 
Sio kila chama kinaanzishwa kwa ajili ya kushinda uchaguzi na kuunda serikali.
 
Ni nani yuko nyuma ya Chama hiki kipya Cha Siasa cha 21 Tanzania.

Bahati mbaya sana wanaoanzisha vyama hivi wanashindwa kabla ya kuanza.

Ukweli ni kwamba CCM hakuna wakuitoa kwa sasa kwa mamna ilivyo na sera na dira zinazoeleweka.

CCM ni chama zao la kutafuta maendeleo na haki ya kila Mtanzania ndio maana inapendwa sana.

Vyama hivi ni mazao ya migogoro Ndio maana havifiki mbali kama itakavyokuwa kwa CCKD.

#Usipoteze muda wako baki CCM.

View attachment 2028113
Wahuni hawa, Hawana lolote jipya
 
Sawa Chawa Jr, wasalimie machawa senior

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Nan anaipenda ccm!! Weka tume huru ya uchaguze ndo ujue Kama inapendwa au haiprndwi. Hata juzi tu polisi wamezui mkutano wa chadema eti tishia la ugaidi. CCM wanajua nguvu ya chadema ndo mana hawataki kabisa kuruhusu mikutano Ila Shaka anaruhusiwa kufanya mikutano.

Ccm imeshajiishia imebaki inategemea polisi tu ili kubaki madarakani ndo mana wakisikia time huru au Katina mpya wako radhi waue kila mtu anayechomozakudai Katiba mpya Mana ndo salama yao
Mimi na familia yangu tunaipenda sana CCM nafikiri tutaipenda daima ,kidumu chama cha mapinduzi!
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom