Ni nani wa kukemea haya? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni nani wa kukemea haya?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mpingomkavu, Jan 20, 2011.

 1. m

  mpingomkavu Member

  #1
  Jan 20, 2011
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 97
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  NI NANI WA KUKEMEA HAYA AKASIKIKA AU KUOGOPWA?

  Ndugu wana JF naomba kuuliza hapa tulipofikia ni nani wa kukemea haya maovu yanayojitokeza watu wakamwelewa na kuogopa kauli yake '' nani mwenye kusema NO'' kwa jambo fulani na akasikilizwa? kwa mfano MAMBO UDINI YANAYOSHIKA KASI,WATU WANAOTETEA UFISADI HADHARANI, ili tu kulinusuru taifa.
   
 2. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #2
  Jan 20, 2011
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,372
  Likes Received: 3,136
  Trophy Points: 280
  Hapa kupata mtz ni kazi......mi naona tutafute wasuluhishi kutoka nje ya nchi watusaidie.......tuna rais kivuli amabye serikali yake inayesemewa na masheikh na maprofessor wa madrasa..........au tuache kwanza tuchinjane kidogo (kwani kikwete ana hamu kuona damu ya watz inazagaa na yeye akikimbilia jamaica na akina rzizwani na salma kubembea ) ndipo waje mataifa ya nje kutusuluhisha
   
 3. N

  Nasolwa JF-Expert Member

  #3
  Jan 20, 2011
  Joined: Jun 12, 2008
  Messages: 1,830
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  alipata kutokea mtanzania mwenye sifa hizo zamani kidogo huyo alikuwa anaitwa mwalimu julius kambarage nyerere.ni bahati mbaya sana kwa sasa nionavyo mimi hakuna mtanzania ambaye ni kiongozi kwa sasa mwenye sifa hizo. Ni bahati mbaya sana kwa kweli
   
 4. Ulimbo

  Ulimbo JF-Expert Member

  #4
  Jan 20, 2011
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 678
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45

  Katibu mkuu wa ccm
   
Loading...