Ni nani sasa atakayemkimbia mwenzake kati ya hawa mafahari wawili wa siasa za Tanzania??.

Ni kati ya LOWASA na Dr.SLAA.
Dr.Slaa alitoka Chadema kwa kisingizio cha ujio wa LOWASA huko kwenye chama chake cha zamani, Swali ni je Sasa Dr.Slaa atamkimbia tena Lowasa na RICHMOND yake??.
Dr. Mihogo ni njaa tu ndio inayomsumbua + yule mama wa kihaya anavyompelekesha
 
Waziri wa madini mpya
Na mwingine wa hela au fedha
If you can't beat them join them

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Ni kati ya LOWASA na Dr.SLAA.
Dr.Slaa alitoka Chadema kwa kisingizio cha ujio wa LOWASA huko kwenye chama chake cha zamani, Swali ni je Sasa Dr.Slaa atamkimbia tena Lowasa na RICHMOND yake??.
LOWASSA HAS BEEN CLEANSED.
 
Ni kati ya LOWASA na Dr.SLAA.
Dr.Slaa alitoka Chadema kwa kisingizio cha ujio wa LOWASA huko kwenye chama chake cha zamani, Swali ni je Sasa Dr.Slaa atamkimbia tena Lowasa na RICHMOND yake??.
Slaa inabidi tu aendelee kukimbia hadi akifikie kifo chake, atafanya nini sasa?
 
Slaa alisha achana na siasa siku nyingi sana, yeye ni kutumikia taifa tu sasa.
 
Watu wengine bana, hivi huwa hamuelewi au upotevu wa kumbukumbu!??

Dr Slaa alitangaza kustaafu siasa, na kwa sasa hayupo katika uongozi wa chama chochote cha kisiasa bali ni mtumishi wa Serikali akiwa kama Balozi nje ya nchi.

Msimfananishe Dr Slaa alipokuwa alipokuwa katika majukumu ya kisiasa kama katibu wa Chadema na huyu wa sasa ambae ni Balozi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom