d698755ee913cc602ca6b7e12072d598.jpg

Picha ina maelezo kidogo hapo juu,
Nmeikuta mahal insta na nimeisoma hii stor japo ipo kwa ufupi, plz anaeijua wakuu,
Kuuliza si ujinga
 
SARAH BAARTMAN, NA HISTORIA YAKE YENYE FEDHEHA NA UNYANYASAJI MKUBWA

Heshima kwa Comred Mbwana Allyamtu.

Wakuu habari za leo. Naomba tuujadili ukweli kuhusu Sarah Baartman, mwanamke mweusi aliyezaliwa Afrika Kusini 1789. Inasadikika alifanya kazi kama mtumwa kwa wakati na kugunduliwa kuwa alikuwa na "umbo la ajabu (physical shape).

Hivyo akalazimishwa kuchukuliwa kwa nguvu hadi nchini Ufaransa na kuanza kuonyeshwa akiwa "Utupu" kama sehemu ya maonyesho. Inasadikika pia alitumika vibaya sana kimwili, hali iliyopelekea kifo chake na mwili kukaushwa kisha kuhifadhiwa kwenye majumba yao ya kumbukumbu huko Ufaransa.Sarah Saartijie Baartiman:Ni mwanamke aliyezaliwa mwaka 1789 nchini afrika kusini.Kutokana na kujaaliwa umbo,kwa kuumbwa kuwa na umbo zuri(physical shape) .

wazungu waliamuwa kumtumia kama chombo cha utalii na starehee.Mwanamke huyu alijaliwa mwili makubwa,sura nzuri na kila sifa za mwanamke wa kibantu aliyejaliwa.

Kutokana na hila za wazungu katika kipindi hicho cha ubaguzi wa kutisha,waliamuwa kumchukuwa Sarah Saartijie Baartiman na kumpeka nchini ufaransa,ambapo ndiko hasa mateso kwa mwanamke huyu asie na hatia yalizidi mno.Alifanyiwa unyama wa kutisha wa kila aina kutokana na kosa la kupewa umbo zuri na Mungu.Mnamao mwaka 1815,mwanamke huyu akiwa bado binti mchanga aliaga dunia,kifo chake kilisabishwa na mateso makali ya wazungu,waliokuwa wanamuingilia kimwili kwa idadi kubwa isio na mfano,kumsimamisha mrembo huyu kwa muda mrefu ili watu waweze kuona umbo lake hasa makalio yake kama chanzo cha wazungu kujipatia kipato.

Haikuishia hapo,Saartijie alipokwisha fariki mwili wake ulikaushwa na kuhifadhiwa ili kuja kuwa kivutio cha utalii kwa vizazi vijavyo.
Baada ya kufariki raia wa Afrika Kusini hasa weusi walikuwa wanaishinikiza Serikali ya Ufaransa kuwapa mwili wa mwanamke huyo ili wamzike kiheshima,na mnapo mwaka 2002 mwili wa Sarah ulizikwa tena mjini Pretoria nchini Afrika Kusini,ili ilitokana na Juhudi Kubwa zilizofaywa na Rais Nelson Mandela na raia wa Afrika Kusini.

Kutokana mateso yote aliyofanyiwa SARAH kitu cha kushangaza ni kwamba alitumika vibayaa sana na wazungu,walimtumia kupitiliza hivyo kupelekea sarah kufa akiwa katika umri mdogo sana alikufa akiwa na umri wa miaka 26 wasingekuwa wazungu inawezekana sarah angeishi maisha marefu zaidi kama binadamu wengine.

Na kamaa ilivyoaadaa kwa kipindi hicho tulionekana waafrica ni watu wa kuchezewa ovyoo,huyu maana kuna wakati alitumika kingono,wazungu walikuwa wanatoa hela afu wanamtumia bila yeye kupenda,walimtumia kwa mda mrefu ikwa ni pamoja na kumvuaa nguo na kumuacha akiwa uchi yaani kamaa alivyozaliwaa,kitendo kiliendelea mpaka kupelekea KIFO CHAKE.

Nimeleta huu mjadala kuchochea udadisi wa kile kichotokea Wakati wa ukoloni. Sina nia mbaya. Naniombe radhi kwa hizo picha,Tunajifunza nini kuhusu HISTORIA HII,unapata picha gani katika maisha ya kawaida ,KARIBUNI SANA .

Imesambazwa na mpokibuyagmail.com
Na kuandaliwa na
Comred Mbwana Allyamtu
Emal- mbwanaallyamtu990@gmail. Com

a7f72f381a1b7cc2c0fecc84dbae250c.jpg
98873f8429ebe7f20f99b2023d572a07.jpg
1f677e9937e58ed4b29cb66b4f5530f7.jpg
0efc90110dc835eb753a9d382c0b91e9.jpg
 
Wakuu heshima kwenu..
Nilisoma mahali kumuhusu Huyu mama aitwae Sarah Baartman ambaye inasemekana alikua na shepu ya haja kwa maana ya makalio pamoja na kuwa na mashavu makubwa ya uke kiasi kwamba wazungu waliomsafirisha toka Afrika kusini mpaka nchi za ulaya na kwenda kumuonesha kwenye kumbi kwa kiingilio..

Ningependa kuifahamu story yake kwa undani kwa wale wenye vyanzo tofauti kumuhusu huyu mama .
images (1).jpg
images.jpg
 
Alipelekwa ulaya kutokana na lijishepu lake huko akawa kama kideo kwenye circus na kuna kipindi akatoka akaanza umalaya hadi mauti inamkuta. Alipofariki mwili wake ulichukuliwa kwa ajili ya "scientific research"
 
Inasadikiwa alikufa kwa magonjwa ya zina...baada ya kugawa sana mbunye (kwa jina la kigeni : uroda).

Pia ndiye anayeshikilia rekodi ya kuwa na papuchi kubwa na msambwanda uliopitiliza vipimo vya kawaida vya misambwanda duniani
 
Back
Top Bottom