Ni takribani miaka mitatu sasa tangu sakata la uchotaji fedha za ESCROW liibuliwe. Wakati linaibuliwa tulishaambiwa kwamba mbali na zile pesa zilizogawiwa na Rugemalila kwenye accouunts mbalimbali za Benki ya mkombozi, bado kuna fedha zingine kiasi cha mabilioni zilichotwa na watu mbalimbali kwa kutumia mifuko mikubwa (Masandarusi).
Cha kushangaza mpaka leo hatujapata fursa ya kuwekewa wazi majina ya hao wadau waliobeba hizo fedha kwa mifuko. Cha kujiuliza ni kwamba, hakuna hata mtu aliyethubutu kutaja hao watu, hata wale tunaoamini walipata access ya information mbalimbali za uchotwaji wa hizi fedha. Si CAG, si Kafulila mwenyewe aliyeshupalia hili sakata, si kamati ya bunge iliyopewa kazi ya kufanya uchunguzi wa hili suala iliyokuwa inaongozwa na Zitto Kabwe.
Ni nini kinaleta ukakasi wa ku wa expose hayo majina?