Ni nani kawaloga hawa CUF jamani??!

Luqman mohamedy

JF-Expert Member
Jul 24, 2016
892
1,226
Vurugu baina ya wanachama wa CUF mahakama kuu leo hii imethibitisha ya kwamba wanaCUF wanakula nyumba yao ya mikate walioijenga kwa miongo miwili kwa njaa ya masaa tu.

Na kwa kipindi kirefu chama hiki kilionekana kama muhimili usiotikisika kwenye kambi ya upinzani kabla ya kuingia kwa mdudu pesa na tamaa.

Nimekaa nikijiuliza bila kupata jibu ya hoja za pande hizi mbili huku zote zikilalamikia wakubwa wao wameuza chama kwa pande mbili tofauti moja kauzia dola mwingine kauza UKAWA.

Ieleweke hawa jamaa wanapigania jina la CUF walitumie kama daraja la kuvuka kisiasa,jina lililojengwa kitambo la sivyo wangehama.

Ubara na uzenji umeonekana kutawala mijadala ya pande hizi

Mpaka kufikia sasa haieleweki CUF watafanya nini kwenye uchaguzi wa 2020 ikiwa wenyewe wameshindwana.

CUF kimepungua sifa kutoka chama kikuu cha upinzani na kua chama kikuu cha upigani.
Nani kawaloga hawa jamaa??!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vurugu baina ya wanachama wa CUF mahakama kuu leo hii imethibitisha ykwamba wanaCUF wanakula nyumba yao ya mikate walioijenga kwa miongo miwili kwa njaa ya masaa tu.

Nimekaa nikijiuliza bila kupata jibu ya hoja za pande hizi mbili huku zote zikilalamikia wakubwa wao wameuza chama kwa pande mbili tofauti moja kauzia dola mwingine kauza UKAW*.
Ieleweke hawa jamaa wanapigania jina la CUF walitumie kama daraja la kuvuka kisiasa,jina lililojengwa kitambo la sivyo wangehama

Usiseme CUF wanapigana kwani CUF hawatengeneza mgogoro wowote, Sema hivi CCM inaimaliza CUF kwa kumsimika Lipumba kwa nguvu ya Msajili na sasa Spika na mahakamani napo kumeonekana wapo nyuma ya CCM, mgogoro wa CCM umeundwa na kuratibiwa na CCM ili CUF ife kisha Ukawa idhoofike, wanatumia pesa za viwanda Kodi kumlipa Lipumba mabilioni awasaidie kuiteketeza CUF ni aina fulani ya matumizi mabaya ya pesa za Umma.
 
Vurugu baina ya wanachama wa CUF mahakama kuu leo hii imethibitisha ykwamba wanaCUF wanakula nyumba yao ya mikate walioijenga kwa miongo miwili kwa njaa ya masaa tu.

Na kwa kipindi kirefu chama hiki kilionekana kama muhimili usiotikisika kwenye kambi ya upinzani kabla ya kuingia kwa mdudu pesa na tamaa.
Nimekaa nikijiuliza bila kupata jibu ya hoja za pande hizi mbili huku zote zikilalamikia wakubwa wao wameuza chama kwa pande mbili tofauti moja kauzia dola mwingine kauza UKAW*.
Ieleweke hawa jamaa wanapigania jina la CUF walitumie kama daraja la kuvuka kisiasa,jina lililojengwa kitambo la sivyo wangehama
Ubara na uzenji umeonekana kutawala mijadala ya pande hizi
Mpaka kufikia sasa haieleweki CUF watafanya nini kwenye uchaguzi wa 2020 ikiwa wenyewe wameshindwana.
CUF kimepungua sifa kutoka chama kikuu cha upinzani na kua chama kikuu cha upigani.
Nani kawaloga hawa jamaa??!!

Sent using Jamii Forums mobile app

Wamelogwa na Mbowe pamoja na Lowassa,tangia kuingia Lowassa Chadema na Mbowe kubadilish gia angani kwa tamaa zake za kijinga ,Maalimu alidhani kwa kuingia kichwa kichwa atavuna mengi,angejiuliza kwanini iwe CUF na isiwe NCCR ya Mbatia?

kwa tamaa za kijinga Maalimu akamuuza Duni Haji Duni,je kiko wapi sasa,CUF inasemewa na hata akina Kubenea,kweli CUF imekwisha,je Kubenea ni nani kwenye CUF?kiboko alichotumia Maalimu Seifu kuwachapa akina Mapalala ndicho hicho anachokitumia Lipumba kumchapa Maalimu,

Maalimu kabaki kudanganya tu wafuasi wake kwa kutoa matamko ,hayo matamko hayana maana kama hayapo kwenye katiba ya CUF ambayo ndie yeye mwenyewe aliyeiasisi na akajisahau akamwachia Uenyekiti Lipumba kwa tamaa zake mwenyewe,sasa Lipumba anamchapa hata vibao vya kerebu Maalimu na Maalimu amebaki akihangaika tu kama mfa maji.Maalimu kwa heri
 
Wamelogwa na Mbowe pamoja na Lowassa,tangia kuingia Lowassa Chadema na Mbowe kubadilish gia angani kwa tamaa zake za kijinga ,Maalimu alidhani kwa kuingia kichwa kichwa atavuna mengi,angejiuliza kwanini iwe CUF na isiwe NCCR ya Mbatia?kwa tamaa za kijinga Maalimu akamuuza Duni Haji Duni,je kiko wapi sasa,CUF inasemewa na hata akina Kubenea,kweli CUF imekwisha,je Kubenea ni nani kwenye CUF?kiboko alichotumia Maalimu Seifu kuwachapa akina Mapalala ndicho hicho anachokitumia Lipumba kumchapa Maalimu,Maalimu kabaki kudanganya tu wafuasi wake kwa kutoa matamko ,hayo matamko hayana maana kama hayapo kwenye katiba ya CUF ambayo ndie yeye mwenyewe aliyeiasisi na akajisahau akamwachia Uenyekiti Lipumba kwa tamaa zake mwenyewe,sasa Lipumba anamchapa hata vibao vya kerebu Maalimu na Maalimu amebaki akihangaika tu kama mfa maji.Maalimu kwa heri
Acha kukariri propaganda za CCM mpaka leo yaelekea ww hujitambui kwani hujui kuwa Lipumba aliondoka mwenyewe kwa kupewa dola milion 1.5 na CCM na membe akazuga kuwa anaondoka CUF kwenda Rwanda ambapo alitumia pesa zake kwenye michepuko mpaka akachacha, akaamua kurejea na kula njama na CCM Msajili spika na mahakama wakamrejesha CUF kienyeji kwa njia haramu ili aiteketeze CUF na kuidhoofisha UKAWA, Maalum Seif hatabaki kuhangaika kwani watanzania watamsaidia baada ya kuchoka CCM kuchukua pesa Hazina kienyeji kumpatia Lipumba, matumizi ya pesa za Umma kwa kudhoofisha upinzani ni ufisadi mkubwa.
 
Maalim anakiangamiza chama kwa kibri, yeye kama anaamini na amejiridhisha kwamba kisheria Lipumba si mwenyekiti halali kwa mujibu wa katiba basi asivutane, arudi mezani kutafuta suluhu kwa upole ndipo patakapochambuliwa mbivu na mbichi, lakini sio kuvutana kwa namna hiyo huku muda unazidi kupotea. Simba mwenda pole ndio mla nyama

Haingii akilini kukaa meza moja na Mtu kama Lipumba alijerejea CUF kwa njia haramu na akifanya hivyo ajue CCM watatumia njia hizo kuvuruga vyama vingine ili warejeshe mfumo wa chama kimoja. Dawa pekee ni wana CUF wenye uchungu kusaka mwanya wamtembezee kipigo cha haja Lipumba mpaka ajinyee ili iwe fundisho.
 
Moto hauzimwi kwa kutumia moto, hapo busara inahitajika zaidi, kama kweli ametumia njia za haramu basi wakikaa meza kuu kwa hoja mbivu na mbichi zitajulikana, wenye akili hawapigani hutumia bongo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vurugu baina ya wanachama wa CUF mahakama kuu leo hii imethibitisha ya kwamba wanaCUF wanakula nyumba yao ya mikate walioijenga kwa miongo miwili kwa njaa ya masaa tu.

Na kwa kipindi kirefu chama hiki kilionekana kama muhimili usiotikisika kwenye kambi ya upinzani kabla ya kuingia kwa mdudu pesa na tamaa.

Nimekaa nikijiuliza bila kupata jibu ya hoja za pande hizi mbili huku zote zikilalamikia wakubwa wao wameuza chama kwa pande mbili tofauti moja kauzia dola mwingine kauza UKAWA.

Ieleweke hawa jamaa wanapigania jina la CUF walitumie kama daraja la kuvuka kisiasa,jina lililojengwa kitambo la sivyo wangehama.

Ubara na uzenji umeonekana kutawala mijadala ya pande hizi

Mpaka kufikia sasa haieleweki CUF watafanya nini kwenye uchaguzi wa 2020 ikiwa wenyewe wameshindwana.

CUF kimepungua sifa kutoka chama kikuu cha upinzani na kua chama kikuu cha upigani.
Nani kawaloga hawa jamaa??!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Aliyebadilisha gia angani ndiye aliyeiroga CUF

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha kukariri propaganda za CCM mpaka leo yaelekea ww hujitambui kwani hujui kuwa Lipumba aliondoka mwenyewe kwa kupewa dola milion 1.5 na CCM na membe akazuga kuwa anaondoka CUF kwenda Rwanda ambapo alitumia pesa zake kwenye michepuko mpaka akachacha, akaamua kurejea na kula njama na CCM Msajili spika na mahakama wakamrejesha CUF kienyeji kwa njia haramu ili aiteketeze CUF na kuidhoofisha UKAWA, Maalum Seif hatabaki kuhangaika kwani watanzania watamsaidia baada ya kuchoka CCM kuchukua pesa Hazina kienyeji kumpatia Lipumba, matumizi ya pesa za Umma kwa kudhoofisha upinzani ni ufisadi mkubwa.
Hizo ni ndoto ,ujinga afanye Maalim ,halafu usingizie CCM,soma katiba ya CUF ndio uje na porojo zako hapo,shida hamtaki kufikiri na mumekaa na jazba tu ya kusema CCM na serikali yake wanaihujumu CUF,waihujumu kwa kipi kwani CUF imeanzishwa mwaka jana,hayo unayoyasema yasitokee wakati ule CUF ilikuwa tishioo na yaje yatokee saa hizi wakati CUF ipo ICU.Pole zenu Funza
 
Nawaambia watuu siku zote, CCM si chama tu, ni institute kabisa. Bado sana kutoka madarakani. Jamaa kama CIA
 
Back
Top Bottom