Ni nani huyu David Matayo aliyenunua karibu ardhi yote ya uchimbaji dhahabu Songwe?

Smiling killer

JF-Expert Member
May 1, 2018
1,073
2,000
Huyu jamaa naona kanunua karibia ardhi yote ya uchimbaji wilaya ya songwe mkoani songwe na kufukuza wachimbaji wadogo sasa sijui anategemea vijana wachimbaji hao wataenda kufanya kazi gani na hamna shughuli yoyote huku zaidi ya uchimbaji wa dhahabu.
 

mkupuo

JF-Expert Member
Apr 6, 2012
1,482
2,000
Ungeweka picha yake humu ingekuwa rahisi kumjua.Ila hilo jina linafanana na la yule Mbunge wa Same.Kuna wakati huko nyuma alikuwa waziri wa mifugo.
 

peno hasegawa

JF-Expert Member
Feb 24, 2016
4,816
2,000
Ramani investment limited ,Umenikumbusha yeye ndiye mmiliki wa hii kampuni na amenunua maeneo yote ya uchimbaji wa dhahabu songwe Tanzania kupitia kampuni tajwa hapo juu. Na Dotto Biteko hili analifahamu na anapiga kimya
 

Dinazarde

JF-Expert Member
Jan 1, 2014
40,358
2,000
Ramani investment limited ,Umenikumbusha yeye ndiye mmiliki wa hii kampuni na amenunua maeneo yote ya uchimbaji wa dhahabu songwe Tanzania kupitia kampuni tajwa hapo juu. Na Dotto Biteko hili analifahamu na anapiga kimya
Ukiona hivyo doto kapiga mkwanja wake
 

opala

Senior Member
Apr 7, 2020
194
500
David mathayo ninayemfahamu mimi ni mbunge wa musoma mjin(CCM) ana pesa chafu Sana, labda anaweza kuwa huyo
 

Dumas the terrible

JF-Expert Member
Jan 20, 2021
1,981
2,000
Hao wametoa mkwanja Kwa viongoziccm Wachumia tumbo Ili kujinufaisha wao tu
Hii inji hiii!
Hiiiiiiii bha ghashaaaaa!

Chukua Chako Mapema (CCM)
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom