Ni nani atamrithi Prof. Mukandala UDSM?

Watushirikishe alumns tuchangie mawazo kuhusu mwenye weledi wa kusogeza chuo chetu mbele. Haya mambo ya wanasiasa kutuchagulia viongozi wa taasisi nyeti kama UDSM yameshapitwa na wakati. Au watangaze kabisa watu washindane na atakayefaulu vigezo husika ndo ateuliwe na Rais.
Alumni mnachangia chuo chenu kwa kiasi gan?
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom