establishment
JF-Expert Member
- Jun 27, 2015
- 1,630
- 2,379
Hongera sana Profesa NguliProf. William Anangisye ndo anatajwa tajwa ikiwa itampendeza mkulu
Hongera sana Profesa NguliProf. William Anangisye ndo anatajwa tajwa ikiwa itampendeza mkulu
Hongera zakeProf Anangisye ndio anafaa zaidi UDSM
Atakayemrithi Mkandala atatoka MbeyaKwa vyovyote vile mrithi atatakiwa kuwa na sifa hizi....
1/Mwanaume.
2/Mgalatia.
3/Kada wa Kijani.
4/Kanda ya Ziwa.
Naungana nawe 100%Prof. William Anangisye ndo anatajwa tajwa ikiwa itampendeza mkulu
Prof Lyimo CONAS tu pamemzingua itakuwa chuo kizima?Prof.lyimo is life to be onto the next
Mfinanga alikuwa Principal DUCE kaja kuwa DVC Admin UDSM,Prof William alimrithi Mfinanga DUCE sasa watakuja kuwa wote UDSMMfinanga sidhan kama jukumu hili ataliweza. Wacha apambane na familia kwanza
Huyu jamaa ndiye VC ajaye lakini Sasa tunavumisha kabla tunaweza sababisha akakosa Shavu.Prof Anangisye ndio anafaa zaidi UDSM
Yunus alishastaafu nadhaniXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXX
Prof. Yunus Mgaya. ni MUISLAM
Akiwahutubia wanafunzi wa mwaka wa kwanza (mwaka wa masomo 2016/17), kwenye mahafali ya Main Campus na kule MUCE. Prof. Mukandala ametumia nafasi hiyo kuwaaga wanafunzi maana hayo ndo mahafali ya mwisho akiwa Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu. Je ni nani kuchukua mikoba yake? Any intelligent Guess?
1. Prof. William Anangisye
2. Prof. William Anangisye
3. Prof. William Anangisye
4. Prof. William Anangosye
5. Prof. William Anangisye
NB: Search Committee ilishafanya mchakato wa awali na majina kadhaa yamepatikana, la muhimu wanafunzi kupitia DARUSO watoe ushirikiano.
Kwa mujibu wa University Charter, Chancellor ndio anateua jina moja katika hayo yaliyoletwa kwake ili kuwa Makamu Mkuu wa Chuo.
Kwanini unaedit post mkuu?Akiwahutubia wanafunzi wa mwaka wa kwanza (mwaka wa masomo 2016/17), kwenye mahafali ya Main Campus na kule MUCE. Prof. Mukandala ametumia nafasi hiyo kuwaaga wanafunzi maana hayo ndo mahafali ya mwisho akiwa Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu. Je ni nani kuchukua mikoba yake? Any intelligent Guess?
1. Prof. William Anangisye
2. Prof. William Anangisye
3. Prof. William Anangisye
4. Prof. William Anangosye
5. Prof. William Anangisye
NB: Search Committee ilishafanya mchakato wa awali na majina kadhaa yamepatikana, la muhimu wanafunzi kupitia DARUSO watoe ushirikiano.
Kwa mujibu wa University Charter, Chancellor ndio anateua jina moja katika hayo yaliyoletwa kwake ili kuwa Makamu Mkuu wa Chuo.
Ndiye kawaProf. William Anangisye ndo anatajwa tajwa ikiwa itampendeza mkulu
Imependeza zaidiProf Anangisye ndio anafaa zaidi UDSM
Mle mleNa. 5. Prof. William
Jina la Anangisye lilikuwa linanukiaAtakayemrithi Mkandala atatoka Mbeya
Mkeka umekubaliNaungana nawe 100%
Lyimo ilikuwa ngumu kuwa Principal wa CONAS tu imekuwa shida huenda akapigwa chiniProf Lyimo CONAS tu pamemzingua itakuwa chuo kizima?
Timu DUCEMfinanga alikuwa Principal DUCE kaja kuwa DVC Admin UDSM,Prof William alimrithi Mfinanga DUCE sasa watakuja kuwa wote UDSM
William VC,Mfinanga DVC Admin.
Hatimaye imekuwaHuyu jamaa ndiye VC ajaye lakini Sasa tunavumisha kabla tunaweza sababisha akakosa Shavu.
Mimi ndio nitamrithiAkiwahutubia wanafunzi wa mwaka wa kwanza (mwaka wa masomo 2016/17), kwenye mahafali ya Main Campus na kule MUCE. Prof. Mukandala ametumia nafasi hiyo kuwaaga wanafunzi maana hayo ndo mahafali ya mwisho akiwa Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu. Je ni nani kuchukua mikoba yake? Any intelligent Guess?