Ni nani atamrithi Prof. Mukandala UDSM?

https://www.udsm.ac.tz/sites/default/files/PRESS RELEASE0001.pdf
Akiwahutubia wanafunzi wa mwaka wa kwanza (mwaka wa masomo 2016/17), kwenye mahafali ya Main Campus na kule MUCE. Prof. Mukandala ametumia nafasi hiyo kuwaaga wanafunzi maana hayo ndo mahafali ya mwisho akiwa Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu. Je ni nani kuchukua mikoba yake? Any intelligent Guess?
1. Prof. William Anangisye
2. Prof. William Anangisye
3. Prof. William Anangisye
4. Prof. William Anangosye
5. Prof. William Anangisye

NB: Search Committee ilishafanya mchakato wa awali na majina kadhaa yamepatikana, la muhimu wanafunzi kupitia DARUSO watoe ushirikiano.
Kwa mujibu wa University Charter, Chancellor ndio anateua jina moja katika hayo yaliyoletwa kwake ili kuwa Makamu Mkuu wa Chuo.
 
Kwanini unaedit post mkuu?
 
Prof. William Anangisye ndo anatajwa tajwa ikiwa itampendeza mkulu
Ndiye kawa
Prof Anangisye ndio anafaa zaidi UDSM
Imependeza zaidi
Na. 5. Prof. William
Mle mle
Atakayemrithi Mkandala atatoka Mbeya
Jina la Anangisye lilikuwa linanukia
Naungana nawe 100%
Mkeka umekubali
Prof Lyimo CONAS tu pamemzingua itakuwa chuo kizima?
Lyimo ilikuwa ngumu kuwa Principal wa CONAS tu imekuwa shida huenda akapigwa chini
Mfinanga alikuwa Principal DUCE kaja kuwa DVC Admin UDSM,Prof William alimrithi Mfinanga DUCE sasa watakuja kuwa wote UDSM
William VC,Mfinanga DVC Admin.
Timu DUCE
Huyu jamaa ndiye VC ajaye lakini Sasa tunavumisha kabla tunaweza sababisha akakosa Shavu.
Hatimaye imekuwa
 
Akiwahutubia wanafunzi wa mwaka wa kwanza (mwaka wa masomo 2016/17), kwenye mahafali ya Main Campus na kule MUCE. Prof. Mukandala ametumia nafasi hiyo kuwaaga wanafunzi maana hayo ndo mahafali ya mwisho akiwa Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu. Je ni nani kuchukua mikoba yake? Any intelligent Guess?
1. Prof. William Anangisye
2. Prof. William Anangisye
3. Prof. William Anangisye
4. Prof. William Anangosye
5. Prof. William Anangisye

NB: Search Committee ilishafanya mchakato wa awali na majina kadhaa yamepatikana, la muhimu wanafunzi kupitia DARUSO watoe ushirikiano.
Kwa mujibu wa University Charter, Chancellor ndio anateua jina moja katika hayo yaliyoletwa kwake ili kuwa Makamu Mkuu wa Chuo.
Mimi ndio nitamrithi
 
Back
Top Bottom