Ni nani atamrithi Prof. Mukandala UDSM?

Mkuu sio unamsingizia Mzungu wa watu? Anawezaje kuongea wazi wazi hivyo?
hakusema mahusiano yao na BK bt alikuwa anasema mtu aliyekuwa anapigiwa chapuo utawal kuwa VC wakat imefanyika research na mapendekezo ya utawala(current VC),sasa wat tuliyokuwa tunaelewa ishu za masscom,duce tukaju mkuu anaipendekeza 'kazi yake' ambayo ina mpa utamu.
 
yea kuna siku mzungu Bruce alikuwa anatufundisha HR/human rights ndo akaw anadokeza jins gn BK anavyopigiwa chapuo awe VC.
Wametoka mbali na Mukandala. Mchepuko wa miaka na miaka. Bunge la Katiba, Principal chuo cha uandishi wa habari na sasa Iringa. Nadhani uVC ataupata kwa sababu Mukandala is well connected kuanzia ikulu ya utawala uliopita na ya sasa...
 
Back
Top Bottom