Ni nani atamrithi Prof. Mukandala UDSM?

Michewen

JF-Expert Member
Jun 27, 2012
24,537
32,144
Akiwahutubia wanafunzi wa mwaka wa kwanza (mwaka wa masomo 2016/17), kwenye mahafali ya Main Campus na kule MUCE. Prof. Mukandala ametumia nafasi hiyo kuwaaga wanafunzi maana hayo ndo mahafali ya mwisho akiwa Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu. Je ni nani kuchukua mikoba yake? Any intelligent Guess?
1. Prof. William Anangisye
2. Prof. William Anangisye
3. Prof. William Anangisye
4. Prof. William Anangosye
5. Prof. William Anangisye

NB: Search Committee ilishafanya mchakato wa awali na majina kadhaa yamepatikana, la muhimu wanafunzi kupitia DARUSO watoe ushirikiano.
Kwa mujibu wa University Charter, Chancellor ndio anateua jina moja katika hayo yaliyoletwa kwake ili kuwa Makamu Mkuu wa Chuo.
 
Huyo namba 9 ana roho mbaya kupitiliza ila sitashangaa akipewa! Na 2 ni muadilifu sanaaa akipewe nitaunga mkono hoja
 
Watushirikishe alumns tuchangie mawazo kuhusu mwenye weledi wa kusogeza chuo chetu mbele. Haya mambo ya wanasiasa kutuchagulia viongozi wa taasisi nyeti kama UDSM yameshapitwa na wakati. Au watangaze kabisa watu washindane na atakayefaulu vigezo husika ndo ateuliwe na Rais.
 
Back
Top Bottom