jitombashisho
JF-Expert Member
- Jun 11, 2020
- 667
- 2,242
Hussein Mwinyi ambaye ni Waziri wa Ulinzi anayetarajiwa kumaliza muda wake mapema leo amechaguliwa awe mgombea wa CCM huko Tanzania Visiwani,Zanzibar. Jambo la kheri na hongera kwake!
Sasa basi,hoja hapa inabaki katika muktadha wa nani baada ya yeye atakuwa mbadala katika nafasi atakayoiacha wazi baadae baada ya Uchaguzi mkuu?
Ikumbukwe,Wizara ya Ulinzi ni Wizara inayohitaji kuongozwa na mtu makini, mwerevu na mwenye kiwango cha hali ya juu cha maadili bora!
Swali ni je ni nani atafaa kuwa...?