Ni nani anayestahili kutajwa kwa tuhuma za dawa za kulevya?

Stroke

JF-Expert Member
Feb 17, 2012
36,982
45,900
Napenda kujua sifa za anayestahili tuhuma za dawa za kulevya!

Ningependa kujua ni MTU wa namna gani ili yanapotokea malalamiko nielewe kwanini watu wanalalamika.

Nataka nijue maana Kuna watu wakituhumiwa basi lawama ziwepo kuwa , wananyanyaswa ama kiki inatafutwa!

Niasidieni jamani!

Mtuhumiwa wa madawa ya kulevya yukoje?
 
Kamuulize makonda si mnae?
 
Madawa ya ku levya ni issue sensitive, haihitaji tu tuhuma ina hitaji uchunguzi na unapo taja jina la mtu uwe na ushahidi usiotia shaka kwamba anauza dawa za kulevya.
Mara nyingi watuhumiwa huchunguzwa kimya kimya mpaka umepatikana ushahidi, kinyume na hapo una mchafua mtu, na ana haki ya kukushtaki kwa kuharibu jina lake just kwa kulihusisha tu na madawa ya kulevya
 
Hatuhitaji atajwe mtu...tunahitaji uchunguzibufanyike kiweledi.. Ushahidi utimie..mahakama ifanye kazi yake kuhukumu..time tutangaziwe wale walokutwa na hatia na sio watuhumiwa..
Kesi za madawa Ni nzito na Ni ushahidi unategemewa..sasa unavoita watu jumatano..wafike kituoni alhamisi nini maana yake..Kama Ni kweli mtu anahusika si atapoteza ushahidi? Muhalifu unaanzaje kumshtua.. Na anavyotangazwa..akikutwa sio mhusika..what are the remedies to clear their names? Busara inahitajika
 
Sasa wewe umetumia vigezo gani kua anayetoa tuhuma hajafanya uchunguzi kabla ya kutoa tuhuma?
 
Hatuhitaji atajwe mtu...tunahitaji uchunguzibufanyike kiweledi.. Ushahidi utimie..mahakama ifanye kazi yake kuhukumu..time tutangaziwe wale walokutwa na hatia na sio watuhumiwa..
Kesi za madawa Ni nzito na Ni ushahidi unategemewa..sasa unavoita watu jumatano..wafike kituoni alhamisi nini maana yake..Kama Ni kweli mtu anahusika si atapoteza ushahidi? Muhalifu unaanzaje kumshtua.. Na anavyotangazwa..akikutwa sio mhusika..what are the remedies to clear their names? Busara inahitajika
Hicho kipimo cha weledi ni kipi?
 
Swali zuri?

Polisi haipaswi kumtuhumu mtu na kumtangaza kisha kumshika alafu ndio kumchunguza.

Hapa nashauri uchunguzi makini (upelelezi) ufanyike, tena wa siri. Polisi ikisha jidhihiri pasipokuwa na shaka juu ya X pamoja na ushahidi walioukusanya, hapo ndipo wamtangaze na kumkamata.

Mimi binafsi huwa sielewaki ile kauli "Tumemshikilia kwa uchunguzi zaidi"
 
waweza usiwepo Ila ukawa ndo muuzaji mkubwa

ndiyo wewe...unashangaa nini?
Unatutoa nje ya mada mkuu! Jibu swali! Nililouliza! Ulichokiandika hapa ni mzaha tu mkuu! Unavuruga mada kwa makusudi kabisa!
 
Inahitaji moyo wa chuma kama alionao Makonda katika vita dhidi ya Madawa ya kulevya. Si unaona jinsi watu wanavyomtetea Mwenyekiti wetu humu!
List of shame ....ilkuwa haki kikatiba? Je lowasa alikuwa fisadi kwa mujibu wa chadema?dah .....drugs is chronic universal problem,it touches many famous people as we ser our representative member of parliament betraying their own sons and daughters for group interest not national goals.kisa mbowe
 
Hii ishu ili ufanikiwe lazima ukubali lawama nilichokipenda ni mkuu wa kaya kumpa sapoti Makonda na Makonda kavimba kichwa ingoma inogile wakina msukuma wanajisumbua tu
 
In swali zuri umeuliza ila sisi wenye majibu sahihi tutakaa kimya...
Maana suala la madawa ni kama uchawi/imani...
Na dhana hizo tumezitengeneza sisi.
Sasa basi anaestahili kutajwa ama kutuhumiwa nk.. Ni Prof Lidumba tu pekee ndio hutasikia kelele yeyote nchin
 
Back
Top Bottom