Ni nani anayelalamika elimu yake haijamsaidia?

Smith Rowe

JF-Expert Member
Sep 18, 2018
3,300
5,408
Baada ya kumaliza form four miezi michache niliyokaa nyumbani ilikuwa productive sana nilifanikiwa kujiingizia hela nzuri sana kwa umri wangu kupitia biashara niliyohifanya ( forex) ila hii sio hoja yangu

Baada ya matokeo kutoka nilikuwa nimefaulu vizuri nikapangiwa shule moja Arusha combination nzuri tuu kwa hapa Tanzania ila baada ya kusoma kwa miezi takribani minne tumefunga na kurudi nyumbani.

Nikiwa na malengo yangu ya Ujasiriamali

Hasa hasa ufugaji wa kuku nimefatilia sana faida zake na changamoto nikaona bora nicheze karata yangu huko

Baada ya kuwaeleza wazazi kuwa nahitaji kusimamisha masomo yangu kwa muda wa mwaka mmoja wamenielewa

Nikaona nianze na kale kamtaji nilikokapata kule forex kabla sijapata tamaa ya kukirudisha huko na kukichoma
Baada ya kila kitu kukamilika kama mabanda
Mtaaluma wa mifugo pamoja na mambo mengine bajeti yangu imeniruhusu nianze na kuku 50 pamoja na majogoo hukohuko lengo kuu ni kuku 1000 mwishoni mwa mwaka 2019

LENGO LA UZI WANGU
Mawazo wenu na michango yenu positive pamoja na negative nipo tayari kuyapokea..

Cheers bosses
 
Mkuu kwanza mtaji umeanza na kiasi gani.

Pili nataka sana kufuga ila nikiaangalia mazingira ya Home uswahilini na then hakuna fensi hivi nawezaje kufuga eneo kama hilo yani nifanyaje.
 
Mimi nimewafugia ndani ya fensi kabisa

Jumla wa mtaji nilioanzia ni laki sita
 
Baada ya kumaliza form four miezi michache niliyokaa nyumbani ilikuwa productive sana nilifanikiwa kujiingizia hela nzuri sana kwa umri wangu kupitia biashara niliyohifanya ( forex) ila hii sio hoja yangu

Baada ya matokeo kutoka nilikuwa nimefaulu vizuri nikapangiwa shule moja Arusha combination nzuri tuu kwa hapa Tanzania ila baada ya kusoma kwa miezi takribani minne tumefunga na kurudi nyumbani.

Nikiwa na malengo yangu ya Ujasiriamali

Hasa hasa ufugaji wa kuku nimefatilia sana faida zake na changamoto nikaona bora nicheze karata yangu huko

Baada ya kuwaeleza wazazi kuwa nahitaji kusimamisha masomo yangu kwa muda wa mwaka mmoja wamenielewa

Nikaona nianze na kale kamtaji nilikokapata kule forex kabla sijapata tamaa ya kukirudisha huko na kukichoma
Baada ya kila kitu kukamilika kama mabanda
Mtaaluma wa mifugo pamoja na mambo mengine bajeti yangu imeniruhusu nianze na kuku 50 pamoja na majogoo hukohuko lengo kuu ni kuku 1000 mwishoni mwa mwaka 2019

LENGO LA UZI WANGU
Mawazo wenu na michango yenu positive pamoja na negative nipo tayari kuyapokea..

Cheers bosses
Umefanya tathmini vzr ya soko lako!??
 
Yaan form four umeweza kutrade forex, ukapata mtaji ,sasa si uendeleze kucheza hio hio forex
Kwani mtu akifanya biashara fulani akapata mtaji wakutosha akaamua kufungua boashara aina nyengine ile ya kwanza anaifunga kwani.

Inaonesha huna uwelewa wowote kuhusu ujasiliamari.
 
"boashara" ndio nini????

Ongea kwa hoja usikike kokolo wew
 
Back
Top Bottom