Ni nani anayeingilia hii mifumo ya Taasisi nyeti za Nchi? TRA, TPA, TANESCO na ana malengo gani?

mama si alisema hata makampuni yaliyokubaliana na magufuri yameshaanza kumkazia..mama inabidi aelewe kua hizi kazi chafu ila lazima mtu azifanye...kujifanya yeye msafi na magu mchafu atajua hajui...hao hao anaooona ndo watu wake watamwonesha mji
Hahahahah atajua hajui sio 😹😹😹 maana tukisema watanzania bila pipe range hawaendi tunaonekana hatuna akili! Haya wacha tuone kama kuwabembeleza itafua dafu
 
Na bado!
Yajayo yanakeraa!
Ukiona mtanzania anakusifia ujue wewe ni bwege.
Mama wameanza kumpamba kabla hajafanya chochote ili wambutue watakavyo.
Ila poa tu, si tulikubaliana kuwa tunataka pesa mtaani? Hii ndio njia ya haraka na makini ya kuzileta mtaani.
Hahahah ili pesa zije watu washafanya yao 😸😸😸 kitaa kitapendeza soon
 
Kwani mwendazake alipokuwa anasema hii inchi watu wameichezea sana hamkumuelewa haya eleweni sasa mwendazake kaenda watu washaanza ichezea

Were unazani hizo pesa wanazokisanya katika vituo vya tanesco kuuza umme zitaenda zote serikalini upigaji na uhuni umeaanza watu wanataka washike pesa cash mambo ya mifumo mifumo inawachelewesha sana
Tuache fikra za hujuma kila siku,kila mahali
 
Mwendazake kaacha kizazi cha ajabu sana. Kizazi kinachoamini katika ubabe, roho mbaya na kumuona kila mtu adui. Hii ni akili ya kikoloni tu ambayo sukuma gang imewajaa vichwani.
 
Huyu anayeingilia hii mifumo kumhujumu mama Samia ni nani na qnataka nn na ana nguvu kiasi gn? na lengo lake nn nn
Tuanzie hapo..Kama Kuna kikundi kinapanga kumuhujumu mama...waache Mara moja kwani ninaamini vyombo vya ulinzi na usalama vipo macho..na havitakubali amiri jeshi mkuu ahujumiwe kwa namna yoyote ile..
Mama itupie macho "tanisco"umeme unakatika Sana siku hizi.. sijui Kuna Nini????
 
Tatizo Tanzania tumekaa kwenye ujinga wa Kutowekeza kwenye ICT . Lazma kuwa na servers za kisasa na kubwa .
Bahati mbaya tuna viongozi wa last century in21 century.
 
Back
Top Bottom