Ni nani anaerudisha mtumishi kwenye payrol?

kichwabox

Senior Member
Feb 14, 2016
152
40
Kumekuwa na sintofahamu nani anaerudisha mtumishi kwenye payrol kama ni katibu mkuu elimu tamisemi au katinu mkuu wizara ya elimu au wote wanamamlaka.msaada hapo
 
Afisa utumishi wako katika halmashauri yako ndie mwenye mamlaka ya kukuingiza au kukutoa katika Payrol kwa mujibu wa taratibu na kanuni zilizopo.
 
Afisa utumishi wako katika halmashauri yako ndie mwenye mamlaka ya kukuingiza au kukutoa katika Payrol kwa mujibu wa taratibu na kanuni zilizopo.
Mamlaka ya kumrudisha mtumishi kwenye payroll yako chini ya katibu mkuu kiongozi.
 
Back
Top Bottom