Ni nani aliyekuudhi zaidi 2015 ?

ibesa mau

JF-Expert Member
Sep 17, 2015
2,109
1,697
Wana jf naomba tutafakari katika mwaka uliopita wa 2015 ni alikuchukiza zaidi? , na bila shaka utakuwa umeshamsamehe na kumwachia Mungu ashughurike naye.
 
Lubuva ndio kaniudhi zaidi mwaka huu
 
Last edited:
Lubuva... Yaani yule mzee ningekutana nae vichakani anapambana na nyoka, ningemsaidia nyoka!
 
Lubuva mnamchukia kwa sababu hakumwongezea kura na kumtangaza Lowasa kuwa mshindi? Unachukia nuru kuliko giza. Nawapenda wa Tanzania wote ila nayachukia matendo maovu yote.
 
Wana jf naomba tutafakari katika mwaka uliopita wa 2015 ni alikuchukiza zaidi? , na bila shaka utakuwa umeshamsamehe na kumwachia Mungu ashughurike naye.

Kusamehe ni kusamehe completely kwa moyo wote,kusema umesamehe halafu unamwachia Mungu maana yake ni kuwa kwa nafasi yako umemshindwa huyo mtu,hivyo ukaamua kumwachia Mungu amuadhibu mwenyewe kama ilivyo statement yako ya mwisho. Kama lengo ni kusamehe basi hiyo last statement iondoe. Have a prosperous new year.
 
Back
Top Bottom