omarilyas
JF-Expert Member
- Jan 24, 2007
- 2,130
- 145
Utatoa mapovu yote Omar lakini ukweli unabaki palepale, unafiki wako wa kupretend kuwa mpinzani umegundulika siku nyingi sana. Janja ya nyani kisagundulika. Wewe endeleza tu talking points za Makamba na Kinana na ukimaliza tutajadili hoja za msingi.
Unafiki ni pale ulipoanza kujipendekeza kwa CHADEMA na wanamageuzi Tanzania wakati ukijua fika kuwa wewe ni mpenzi wa ccm na serikali ya kifisadi ya Kikwete.
Kama kweli unanijua then utajua kuwa kujipendekeza kwa mtu sio hulka yangu.....I believe in effective democratic system and I will always suuport anyone whom and when I believe I need to achieve prosperous and democratic Tanzania. Muulize mtu yeyote huko kwenu kama niliwahi kuomba ama hata kuonyesha nia ya kujiunga nanyi.....I have always stand firm with my nonpartisan principle whatever the temptations....
Zaidi ya salamu na heshima kwao kama wakubwa wangu kiumri na hata kimaarifa, sijawahi kujuana na hao unaodai kuwa natumia talking points zao...Why should I while I am privileged to have my independent and innovative brains????
Believe me, sijaona hoja yoyote ya msingi uliyoianzisha ama kujibu zaidi ya mipasho, shallow assumptions na majungu tu...
Usiku mwema