Ni nani aliyeharibu Mchakato wa Katiba Mpya? Tuanzie hapo

Wee mtoto ulitokana na mwaka koga, Nyerer aliombwa alinde Mapinduzi yasije kupinduliwa. History inaonyesha wazi jinsi wazanzibar walivokuwa watu wakuomba kusaidiwa ndio maana walimuomba mpaka Jenerali Okello kufanya Mapinduzi alipomaliza akaenda kutangaza Redioni Karume popote ulipo jitokeze uje uchukue Nchi kazi nimemaliza.
Ni ukweli mchungu kwamba Wala urojo hawakuweza kujipigania na kujilinda mpaka waombe msaada kwa kina Okello na Nyerere. Inaonekana wewe uko upande wa Pili wa watu waliopinduliwa na Nyerere akaja kuzuia uwezekano wa nyie kufanya Mapinduzi, ndio maana mnamchukia na kuuchukia Muungano.

Ndivyo ulivyoambiwa kanisani kwenu na Kardinali pengo . Watoto wa mbio za mwenge hamjui zaidi ya hapo.
 
Ukiwa na Dini ikakujaza chuki,kukosa kujiamini,umaskini wa kifikra,kukosa heshima,kutukana n.k hiyo Dini ni Dini ya shetani moja kwa moja. Haina mjadala.Dini za Mungu hufundisha heshima,upendo,amani,unyenyekevu,kujiamini n.k.

Ndivyo alivyokuambia huyo shetani huko kanisani??
 
ulijuaje kama nchi inahitaji katiba mpya?..
Je katiba iliyopo inatekelezwa kwa asilimia ngapi?
Katiba iliyopo ni kweli haitekelezwi kwa % kubwa kwa sababu yenyewe haijilindi. Haisemi mtu asipoitekeza ataadhibiwa kwa taratibu zipi. Hii ni miongoni mwa sababu za kuitaka Katiba Mpya. Hivyo tunahitaji katiba itakayomuwajibisha mara moja atakayeichezea.
 
Back
Top Bottom