Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,012
- 95,358
kamojatu na Consigliere njooni huku mkamate maajabu ya historia.nyosema mwandishi ni kweli ilo jiwe lipo mlima uruguru, eneo linaitwa kisosa kwa bibi mmoja anaitwa Semeni. Ni mmoja wa ashuhuda wa hilo jiwe nakumbuka nilikua Boy scout miaka ya 2012-210 na camp nyingi sana tulikua tukipiga Bahati Camp, ila safari nyingi sana tulikua tukipandisha kwenda Morning site, ambako ni jurani sana na kijiji cha kisosa ambako ndipo jiwe hili lilipo.
Kwa maelezo ya Zungu ambaye ndiye anayelinda Camp ya Morning site pia kwa maelezo ya bibi Semeni ni kuwa ilitokea radi kubwa eneolote pale palikua pekundu mithili ya moto, na ilikua ikionekana kama mtu ndani ya ule moto ambaye alikua na fimbo mkononi akiwa amekaa huku mguu mmpja ukiwa umekajaga na mwingine ulikuwa umeinuliwa juu, na alitumia mguu ambao umeinuliwa juu kuondokanao na kwenda kukanyaga mlima mwingine na moja ya mlima unaosemekana alienda kukanyaga huko ni mlima mguru wa ndege ambao uko lukobe, ila unaweza kuuona kwa urahisi ukiwa waenda dodoma kwbla hujafika mkundi au mzani wakwanza kutokea msamvu bus stand, huo nfio moja ya mchangowangi
by Nico's
Mi bora nibakie na elimu yangu ya VETA niliyospesholaiz kwenye ukarabati wa vyerehani