Ni nani aliye safiri zaidi kati ya JK na Obama?

Wanajamvi hivi kati ya hawa wawili ni yupi aliyetembelea nchi nyingi zaidi?

Obama has spent more time on playing golf than in the Whitehouse,same goes to Kikwete.He spent more time on touring across the globe than working in the Whitehouse.
 
Tatizo Sio Kusafiri Bali Manufaa Ya Kusafiri: Obama Akisafiri Kuna Maslahi Ya Marekani Anapata Zaidi, But Jk Anapata Maslahi Yake Binafsi Kuliko Ya Taifa. Obama Akicheza Golf, Thanks To God Raia Wake Wanakula Vizuri Bado. Sio Kama Wanavyokula Malofa Na Wapiga Mbizi..
 
Back
Top Bottom