Ni nani aliye msafi ndani ya CCM?

EWGM's

JF-Expert Member
Jul 22, 2013
1,521
2,109
Sababu inajulikana Chama Cha Mapinduzi kina kila aina ya uchafu kuanzia kuiba mali za serikali, rushwa, kutia mimba wake za watu, kughushi vyeti, kutesa, kuua na kila aina ya unyama. Maana kila anayetoka CCM si msafi ila akiwa CCM mbona hamsemi yote hayo.

Hivyo naomba niulize swali kwa wana CCM haswa haswa kwa huyu bana mkubwa aliyeishiwa sera na mashiko kwenye siasa za Tanzania Fred Mpendazoe. Ni nani kwa sasa aliye na nyadhifa ya uongozi ndani ya CCM ambaye ni msafi? Sitaki majina mengi tutajieni majina 10 tu.
 
Usimpe mtihani mkubwa hivyo. Kumbuka leo wameanza kidato cha nne. Utamwonea sana mwanafunzi wa kidato cha kwanza kuupewa huo mtihani ati naye unampambanisha na hao wa kidato channe ati kwa sababu kavaa sare inayo fanana. Fredi mwambie akutajie watu 4 tu walio wasafi CCM. Sio lazima wawe viongozi, hata muuza kashata
 
Wanajulikana mbona!wote walio ndani ya fisiem kuanzia mwenyekiti wao wa mtaa!
 
Sababu inajulikana Chama Cha Mapinduzi kina kila aina ya uchafu kuanzia kuiba mali za serikali, rushwa, kutia mimba wake za watu, kughushi vyeti, kutesa, kuua na kila aina ya unyama. Maana kila anayetoka CCM si msafi ila akiwa CCM mbona hamsemi yote hayo.

Hivyo naomba niulize swali kwa wana CCM haswa haswa kwa huyu bana mkubwa aliyeishiwa sera na mashiko kwenye siasa za Tanzania Fred Mpendazoe. Ni nani kwa sasa aliye na nyadhifa ya uongozi ndani ya CCM ambaye ni msafi? Sitaki majina mengi tutajieni majina 10 tu.
Umenena ukweli majina matatu tu. Kumi ni mengi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom