Ni nani alimuua Mchungaji Mtikila?

For sure,

Kuna la Prof Jwani Mwaikusa nae aliyeuwawa kwa kupigwa risasi nyumbani hapa Dar,, hapa napo Paulo anahusika

Sijui niilete part B ya namna Marehemu Mtikila alivyoshughulikiwa,,, kuanzia kukutana na foreigner aliyekuja kwa mission ya dini mpaka umauti ukamfika
usisahau kunitag tafadhali
 
Mchg Mtikila alikuwa na hulka ya uropokaji hvyo hiyo kauli haikushangaza

Na kwa hulka yake hio pengine ndie mwanasiasa pekee nchini mwenye kesi nyingi zaidi mahakamani zenye kushitaki na kushitakiwa.

Na mara ya mwisho alifungua kesi kwa kumshitaki Askofu Mokiwa kwa kumshika makalio

Marehemu Prof Mwaikusa (ambae alikuwa mbobezi ktk taaluma ya sheria) alikuwa ni Wakili wa utetezi ktk moja ya kesi ya watuhumiwa wa ushiriki wa mauaji ya Kimbari nchini Rwanda iliyokuwa ikisikilizwa Arusha.

Na alifanikiwa kuibwaga Serikali ya Rwanda iliyokuwa ikitaka mtuhumiwa huyó wa mauaji apelekwe kushitakiwa mahakama za Rwanda lakn Prof Mwaikusa akashinda kesi ile kwa kusema kwamba mteja wake hatotendewa haki ktk mahakama za nchini Rwanda.

Kumbuka mtuhumiwa alikuwa ni Mhutu huku Serikali ya Rwanda ikiongozwa na Mtutsi bw Paulo

Kwahyo wakati kesi ya msingi ikianza kusikilizwa ndipo Prof Mwaikusa akakumbwa na umauti

Katika kesi ya mgombea binafsi pale Prof hakuwa tishio maana majaji wa Mahakama japo ni Mhimili mwingne lakn ni ukweli kuwa watafuata matakwa ya mwanasiasa ambae ni Raisi na Mwenyekt wa Chama tawala ktk kuamua.
Daah we jamaa unajua hadi basi
 
  • Thanks
Reactions: tyc
Back
Top Bottom