Ni nani alimshauri Mourinho kumnunua Lukaku Man Utd?

Lukaku manutd imelamba dume, ayomengine ni chuki za Mange Kimambi. msiingize siasa kwenye mpira.
 
Sio kukosa goli, lukaku anakosa magoli tena ya wazi kitu ambacho ni risk kwa timu kubwa kama man untd kumtegemea mtu kama huyu hasa unapocheza champions league na unakutana na timu zenye washambuliaji clinical kama Robert lewandowski, Lionel Messi au Cristiano Ronaldo huku ukikumbuka Man united wamemwaga zaidi ya Paundi mililioni 70 kupata huduma zake
ronaldo na messi ni clinical? unaangalia mpira kweli?

hao wanafunga sana sababu wanapata chance nyingi

-la liga ronaldo mashuti 62 magoli 2
-michuano yote mashuti 127 magoli 15

hio ndio definition yako ya clinical?

-lukaku epl mashuti 51 goli 8
-michuano yote shuti 99 goli 18

(data za espn nimezitoa).

msimu mzima mtu kama ronaldo au messi anapiga mashuti 300 au zaidi ndio wanapata hayo magoli,

na lukaku hao madrid ashakutana nao supercup na kawafunga.

hii hapa list ya clinical finishers

The Best Strikers in the World Based on Conversion Rate - EIF Soccer

top 50 hao
messi ni wa 35, Ronaldo hata 50 bora hayupo, lukaku ni wa 16, anaeongoza ni dost. kila shuti 2.6 ujue ni goli.

watu kama Aguero, harry kane, Diego costa wapo nafasi za juu na hao nakubali ni clinical
 
2a7fb4ada5082995ea569c0db9cc0077.jpg
 
Kwani Ronaldo msimu huu kafunga mangapi? Ni bad patch tu hiyo. Afterall kocha wake kasema aina ya viatu alivyovaa havimfai.
 
ronaldo na messi ni clinical? unaangalia mpira kweli?

hao wanafunga sana sababu wanapata chance nyingi

-la liga ronaldo mashuti 62 magoli 2
-michuano yote mashuti 127 magoli 15

hio ndio definition yako ya clinical?

-lukaku epl mashuti 51 goli 8
-michuano yote shuti 99 goli 18

(data za espn nimezitoa).

msimu mzima mtu kama ronaldo au messi anapiga mashuti 300 au zaidi ndio wanapata hayo magoli,

na lukaku hao madrid ashakutana nao supercup na kawafunga.

hii hapa list ya clinical finishers

The Best Strikers in the World Based on Conversion Rate - EIF Soccer

top 50 hao
messi ni wa 35, Ronaldo hata 50 bora hayupo, lukaku ni wa 16, anaeongoza ni dost. kila shuti 2.6 ujue ni goli.

watu kama Aguero, harry kane, Diego costa wapo nafasi za juu na hao nakubali ni clinical
Hahah kwahiyo Ronaldo sio clinical... unajua hizi statistics ushuzi ndio zilimuonyeshaga Giroud yupo juu zaidi ya Ronaldo.

Basi wewe kama ukipewa timu kwa statistics zako zinazomuonyesha messi wa 35 utamchagua Diego Costa..

Messi na Cr7 wanajaribu mara nyingi ila haina maana kuwa sio deadly attackers
 
Unajua tofauti ya attacker na left winger au right winger??

Messi ni winger au attacker??
 
Unajua tofauti ya attacker na left winger au right winger??

Messi ni winger au attacker??
Attacker...

Messi ni definition ya mchezaji wa kisasa maana anaweza kuattack pande zote...ana uhuru wa kurindima pande zote mbele.

Ndio maana pale Barcelona huwa anaongoza kwa magoli na assist, maana anacheza 9,10,11 kote kule mbele kwake..

Ndio maana guardiola alianza kumtumia kama false number 9, huwezi muita messi winger hata siku moja
 
Messi huwa anangwa namba7
 
kukosa hilo goli ndio bure? zile mishe mishe za lukaku pale mbele ndio zinapelekea kina martial wafunge.

whoscored mechi ya jana lukaku wamem rate 7.64 ambayo ni record nzuri tu.

https://www.whoscored.com/Players/78498/Show/Romelu-Lukaku

na mpaka sasa hizi ndio record zake

-manchester amecheza mechi 19 ana goli 11 na assist 4

-ubelgiji mechi 8 goli 11

-jumla mechi 27 goli 22 na assist 4.

kifupi lukaku amefanya contribution 26 za magoli katika mechi 27 alizocheza. kama unaona hii ni bure then itakuwa ni wale mnaojua mpira ni chenga na matobo.
Japokua mimi sio shabiki wa Man u lakini naungana na ww Lukaku anafanya kazi kubwa sana pale mbele
 
Messi huwa anangwa namba7
Hamna...

Messi ana uhuru wa kucheza popote, sio 7,9 wala 10..

Kwahiyo neno lilibakia la kumuita ni mshambuliaji, ni sawa na mtu umuite Ronaldo Winger wakati ukiangalia mpira karibu muda wote unamuona katikati
 
Hahah kwahiyo Ronaldo sio clinical... unajua hizi statistics ushuzi ndio zilimuonyeshaga Giroud yupo juu zaidi ya Ronaldo.

Basi wewe kama ukipewa timu kwa statistics zako zinazomuonyesha messi wa 35 utamchagua Diego Costa..

Messi na Cr7 wanajaribu mara nyingi ila haina maana kuwa sio deadly attackers
sijasema hao mastriker ni bora kuliko messi na Ronaldo ila ni clinical zaidi, maybe ulitumia neno clinical bila kujua maana yake ni nini

clinical ni kama unasema verry efficient yaani striker ambaye nafasi mbili tatu anakuua.

je ronaldo na messi ni watu wa aina hio? angalia stats za dost hapo conversion rate yake ni kila mashuti 2.6 goli kwa lugha nyengine kila mashuti kama 5 anakuua goli 2.

ronaldo mashuti 60 ana goli 2, kwenye ligi hivi unaanza vipi kusema huyu ni clinical? hata kipindi ronaldo na messi wapo peak kina david villa walikuwa clinical kushinda messi na ronaldo.

kama una data zinazopinga zilete mkuu
 
Back
Top Bottom