Ni namna gani ya kushangaza uliweza kujua kwamba rafiki yako ni tajiri

Watu mmetajiwa hadi Paul Allen ..tajiri katika top ten ya dunia bado Tu mnaponda ponda
Sijui waswahili tukoje..
 
Niliona thread kama hii Twitter au Instagram wakiulizana wa Nigeria...

Nakumbuka jibu la mtu mmoja
Yeye alisema alimuona Dangote anakula nyumbani Kwa rafiki yake sebuleni..ndo akashangaa dah
 
Kuna watu kuwa humble ndo walivvyo..
Niliwahi ona documentary ya kikundi cha sanaa cha China..walienda nchi moja ya kiarabu.
Wakawa wanafanya rehearsal kabla ya show
Kukawa na mwarabu mmoja anawatazama Hadi
Wanamtuma tuma tuletee hiki au kile..
Walikuja kugundua baadae ndo alikuwa mfalme wa nchi hiyo..
 
Duuuh, ebwaeeh hahaha aseee kwakweli nimeshangazwaa

Kuna watu huwa hawababaishwi na Utajiri wao
Kuna watu kuwa humble ndo walivvyo..
Niliwahi ona documentary ya kikundi cha sanaa cha China..walienda nchi moja ya kiarabu.
Wakawa wanafanya rehearsal kabla ya show
Kukawa na mwarabu mmoja anawatazama Hadi
Wanamtuma tuma tuletee hiki au kile..
Walikuja kugundua baadae ndo alikuwa mfalme wa nchi hiyo..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu

Kuna kisa moja nilikisoma Quora kilitokea nchi za uarabuni hukoo

Palikuwa na mgahawa kama ulivyo Mac Donald's mtaa fulani sasa moja ya wafanyakazi akawa anasimulia

Kwamba siku moja walikuwa wanahitaji wafanya kazi sasa wakawa wameweka kibao cha tangazo kwamba wanaajiri. Kumbuka Ajira kama hizi za kuuza restaurant kwa nchi za kiarabu ni zimezoeleka kufanywa na watu wenye vipato vya chini.

Basi mara akajitokeza kijana akamwendea mkurugenzi wakati huo na huyo mfanyakazi mwengine yupo hapo akiwasikiliza wakiongea

Dogo: nimeona kibao cha tangazo manaaajiri

Mkurugenzi: ndio, ulikuwa unahitaji ajira?

Dogo: ndio boss, kwani kuna nafasi gani?

Mkurugenzi: Kuna nafasi ya kitchen assistant na waiter/waitress

Dogo: nitachukua ya waiter au muhudumu

Mkurugenzi: upo tayari kuanza lini kazi?

Dogo: kesho mapema asubuhi

Baada ya mazungumzo dogo akaondoka.
Have you notice something strange there..?
Ni kwamba dogo hakubageni kuhusu mshahara....

Jamaa alishangaaa sanaa kwani hapana mahali paliwekwa wazi kwamba mshahara utakuwaje kwa saa kwa kipindi hicho mshahara huwa ni kati ya $5 mpaka $10 kwa saa inategemea na mwajiri.

Basi kesho kufika dogo akawahi akaanza kazi mapema sana na alikuwa hamble na mwenye furaha.

Aliifanya ile kazi kwa unyenyekevu na heshima kubwa kwa miezi mitatu mfululizo. Then one day akaja akiongozana na mtu mzima wa makamo ambae alionekana ni mtu tajiri na kijana mwenzie pamoja na mfuko uliokuwa umewekwa vitu.

Alipofika counter alivitoa vile vitu kwenye mfuko lahaulaaa..... zilikuwa ni saa 4 za gharama kubwa, alikuwa amewalete zawadi, hapo moja inachezea $20,000 akawakabidhi kila mfanya kazi pamoja na yule msaidizi na mkurugenzi jumla walikuwa wanne.

Then baada ya hapo Akaskika akimwambia yule mtu mzima aliefatana nae kwamba...

"I told you, I could make it"

Ikaja kufahamika kwamba yule mtu mzima ni Baba yake mzazi anamiliki makampuni ya mafuta na ni tajiri sana na alibeti na baba yake kwamba anaweza kufanya kazi za hali ya chini... baba hakuamini

Wafanyakazi wote walibaki na mshangao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mmoja yupo group la WhatsApp ni tajiri na wote hatukujua,
Siku tunabadilishana mawazo akatukaribisha Kwake ni Arusha bwana weee kwenda kwenda kwa Maelekezo tukajikuta tumasimama mbele ya boonge ya mgorofaaaa.....

Kilichofata ni historia, kumbe ule mjengo ni wa kwake na yeye ndo anaishi hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
Nakusikia mwenyewe hapa siku nyengine sikualiki tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu

Kuna kisa moja nilikisoma Quora kilitokea nchi za uarabuni hukoo

Palikuwa na mgahawa kama ulivyo Mac Donald's mtaa fulani sasa moja ya wafanyakazi akawa anasimulia

Kwamba siku moja walikuwa wanahitaji wafanya kazi sasa wakawa wameweka kibao cha tangazo kwamba wanaajiri. Kumbuka Ajira kama hizi za kuuza restaurant kwa nchi za kiarabu ni zimezoeleka kufanywa na watu wenye vipato vya chini.

Basi mara akajitokeza kijana akamwendea mkurugenzi wakati huo na huyo mfanyakazi mwengine yupo hapo akiwasikiliza wakiongea

Dogo: nimeona kibao cha tangazo manaaajiri

Mkurugenzi: ndio, ulikuwa unahitaji ajira?

Dogo: ndio boss, kwani kuna nafasi gani?

Mkurugenzi: Kuna nafasi ya kitchen assistant na waiter/waitress

Dogo: nitachukua ya waiter au muhudumu

Mkurugenzi: upo tayari kuanza lini kazi?

Dogo: kesho mapema asubuhi

Baada ya mazungumzo dogo akaondoka.
Have you notice something strange there..?
Ni kwamba dogo hakubageni kuhusu mshahara....

Jamaa alishangaaa sanaa kwani hapana mahali paliwekwa wazi kwamba mshahara utakuwaje kwa saa kwa kipindi hicho mshahara huwa ni kati ya $5 mpaka $10 kwa saa inategemea na mwajiri.

Basi kesho kufika dogo akawahi akaanza kazi mapema sana na alikuwa hamble na mwenye furaha.

Aliifanya ile kazi kwa unyenyekevu na heshima kubwa kwa miezi mitatu mfululizo. Then one day akaja akiongozana na mtu mzima wa makamo ambae alionekana ni mtu tajiri na kijana mwenzie pamoja na mfuko uliokuwa umewekwa vitu.

Alipofika counter alivitoa vile vitu kwenye mfuko lahaulaaa..... zilikuwa ni saa 4 za gharama kubwa, alikuwa amewalete zawadi, hapo moja inachezea $20,000 akawakabidhi kila mfanya kazi pamoja na yule msaidizi na mkurugenzi jumla walikuwa wanne.

Then baada ya hapo Akaskika akimwambia yule mtu mzima aliefatana nae kwamba...

"I told you, I could make it"

Ikaja kufahamika kwamba yule mtu mzima ni Baba yake mzazi anamiliki makampuni ya mafuta na ni tajiri sana na alibeti na baba yake kwamba anaweza kufanya kazi za hali ya chini... baba hakuamini

Wafanyakazi wote walibaki na mshangao

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo dogo angekuwa Tz babake angeshinda betting.

Portfolio | 2020
 
Ni ngumu sana kwa Tz kufake utajiri..

Manake ukiendesha X5 tayari watu washajua wewe sio wenzao.

Ila mbele kuona jirani anapush Cayenne ni kitu cha kawaida sana.

Std zetu zipo chini sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom