Kizzy Wizzy
JF-Expert Member
- Aug 2, 2013
- 3,280
- 3,776
...
😂😂We jamaa mbona umekuja kunisema huku ??
Inaonekana we jamaa unashoboka Sana,ukifika Kwa MTU unaanza kumuuliza uliza hiki cha Nani,unashngaa magari etc,mpaka huyo jamaa kakujibu shombo nimeuza X3 sasa hvi Nina X5,hqta mm ukinikuta mahali nakunyoosha Tu ili uache kutafuta hela uwaze kupost ujinga kama huu!!Kuna mmoja yupo group la WhatsApp ni tajiri na wote hatukujua,
Siku tunabadilishana mawazo akatukaribisha Kwake ni Arusha bwana weee kwenda kwenda kwa Maelekezo tukajikuta tumasimama mbele ya boonge ya mgorofaaaa.....
Kilichofata ni historia, kumbe ule mjengo ni wa kwake na yeye ndo anaishi hapo
Sent using Jamii Forums mobile app
Watajuaje? Kama mtu ameamua kukaa hostel na wenzie, anapokea boom kama wenzie na anakula canteen kama wenzie tutajuaje?Ni rahisi kuficha kama wewe kwenu kuna uwezo kwenye level hiyo ya elimu ila kwa level ya chuo ngumu sana hata ufanyaje hata uwe sio wakuvimba na kuShow off ila watu watajua kama wewe kwenu kuna kitu.
Portfolio | 2020
Pressure za kusubili boom utakuwa huna, vile vipindi vya pasi ndefu boom limekata utakuwa havikupati, kukopakopa kawaida kwa mwanachuo wewe hutakopa na kukopwakopwa kawaida 100K nk kioindi watu wanasota...kuna life huwezi kuliigiza au ku-fit hapo ndipo some questions mark zitakuja kwa jamaa huyu vipi mbona hayaface tunayo yaface.Watajuaje? Kama mtu ameamua kukaa hostel na wenzie, anapokea boom kama wenzie na anakula canteen kama wenzie tutajuaje?
Sent using Jamii Forums mobile app
We umewasema watu wenye uchumi wa kati mtoa mada amewasema madon.Pressure za kusubili boom utakuwa huna, vile vipindi vya pasi ndefu boom limekata utakuwa havikupati, kukopakopa kawaida kwa mwanachuo wewe hutakopa na kukopwakopwa kawaida 100K nk kioindi watu wanasota...kuna life huwezi kuliigiza au ku-fit hapo ndipo some questions mark zitakuja kwa jamaa huyu vipi mbona hayaface tunayo yaface.
Mshikaji wangu kwao maDon anaishi kawaida ila pressure kama hizo hatawai zi face.
Portfolio | 2020
Criteria za utajiri kwenye hii thread zimenipa somo jipya.
Hata chuo wapo mkuuNi rahisi kuficha kama wewe kwenu kuna uwezo kwenye level hiyo ya elimu ila kwa level ya chuo ngumu sana hata ufanyaje hata uwe sio wakuvimba na kuShow off ila watu watajua kama wewe kwenu kuna kitu.
Portfolio | 2020