Ni namna gani wanyama mfu hufanywa wasioze waonekane kama wako hai kama hawa

Afisa Mteule Drj 2

JF-Expert Member
Mar 21, 2017
3,561
3,906
20200808_134358.jpg
 
Kumbe wala wanyama tunaowaonaga wamewekwa kweny mahotel makubwa sio wakuchongwa me nilikuwa najua ni magogo yale
 
Wamisri wa kale walikuwa wanahifadhi maiti za wafalme wao kwa namna hii hii sasa wewe usiejua unaona mimi kama nimelewa
 
Kwa ndani inakua gogo ila nje wanavalishwa ngozi ya mnyama husika.
 
Wanaondoa viungo vyote vya ndani, kuna dawa anachomwa na sindano kwenye misuli mwili mzima, zina zuia kuoza huku akiendelea kukauka kwa room temperature.
 
Back
Top Bottom