Ni namna gani ulivyoweza kukutana na mke, mpenzi au mwenzi wako? Njoo tupeane uzoefu

Huu Uzi bhn km mimi mama mmoja nlimsaidia kumpokea mzigo alkuwa ametoka safari ile nmemsaidia hadi home kwake kanikaribisha vzuri mara kijana niwashie tv nmekaa naye sebuleni tunapiga stori mama si akaita mwanae binti ndo akaja sebuleni mara utambulisho kwa binti na binti Yake pisi kaliii toka hapo urafiki na binti umekoleaaa na mama ake siku hizi anajua mi nampenda mwanae shida ipo mwanae yupo masomoni mi npo mtaani napambana hizi mission muda mwingine n ngumu kumeza.
 
Aah aah au ndo maana niliachwa kwenye gari na mtoto wa boss! Halafu sikujiongezaaaa!
 
Back
Top Bottom