Ni nafasi ya Sumaye na Mwambe kugombea urais CCM 2020

Nafasi ya Mzee Sumaye ni kukaa kimya kama mzee mwenzie Lowasa wakijutia makosa walio fanya kuhamia CHADEMA. Yaliyo kakuta huko yametosha.
Nawe una shallow analysis. Lowasa walishamkata huko CCM, sasa kwa ambition take kuwa rais, it was wise kuhamia CDM. Hata angelikaa huko, he is no longer a wanted material! Afadhali CDM walikuwa wanamheshimu kama mzee na kumpa nafasi ya kushauri, kusema etc.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Thubutu wagombee urais kupitia ccm?we huna wema nao.mwambe tusubiri tu atapigwa cheo kizuri tu haiwezekani bado miezi kupata mamilioni ya kumaliza miaka5 ya ubunge halafu ajiudhulu,kuna ahadi nono hapo,na last week alikuwa korea
 
Lowassa ameonyesha kiwango cha juu sana cha ujinga. Hata huyo Sumaye pia.

Ni kweli ndani ya Chadema heshima yao kama wazee na uzoefu wao ulikuwa unaheshimiwa. Kuhusu maumivu ya Mali zao na haki zao ilikuwa ni jambo LA muda tuu na kuvumilia, wakati wa haki kwa wote ungefika tuu kama wengine wanavyo usubiri na kuupigania.

Sasa wamejipeleka kudhalilika huko na hii vita ya TUME HURU ikifanikiwa mwaka huu watashuhudia kwa macho yao anguko la CCM lilivyo kuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lililowazi Ni kuwa watapewa hela zao, hayo mamilioni. Kwani nani atajua na hata ukijua utawafanya nini? Wamehakikishiwa kupewa hela zao.
Thubutu wagombee urais kupitia ccm?we huna wema nao.mwambe tusubiri tu atapigwa cheo kizuri tu haiwezekani bado miezi kupata mamilioni ya kumaliza miaka5 ya ubunge halafu ajiudhulu,kuna ahadi nono hapo,na last week alikuwa korea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ccm kuna demokrasia zaidi ya ile NGO yetu ya Mtei...
Kama katiba na taratibu za ccm zitaruhusu watagombea.
Nadhani sasa mko kwenye demokrasia pana. Itumieni kugombea Urais mpingane na Magufuli 2020.
Ni nafasi ya kukikosoa chama chenu CCM, uwanja ni mpana wa demokrasia.
Mnaweza sasa mkasema mkasikika, mkapinga , mkakosoa kama siyo kupinga ambayo mnaona hayaendi sawa katika CCM. Au huko kila kitu ni chema?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
waliingizwa kimkakati....

wajinga ni sisi tuliowapokea na kuwapigia deki barabara....

Tusirudie kosa kwa membe ambaye anaandaliwa mgogoro feki ili aje chadema kuwa mgombea uraisi.
Lowassa ameonyesha kiwango cha juu sana cha ujinga. Hata huyo Sumaye pia.
Ni kweli ndani ya Chadema heshima yao kama wazee na uzoefu wao ulikuwa unaheshimiwa. Kuhusu maumivu ya Mali zao na haki zao ilikuwa ni jambo LA muda tuu na kuvumilia, wakati wa haki kwa wote ungefika tuu kama wengine wanavyo usubiri na kuupigania.
Sasa wamejipeleka kudhalilika huko na hii vita ya TUME HURU ikifanikiwa mwaka huu watashuhudia kwa macho yao anguko la CCM lilivyo kuu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nawe una shallow analysis. Lowasa walishamkata huko CCM, sasa kwa ambition take kuwa rais, it was wise kuhamia CDM. Hata angelikaa huko, he is no longer a wanted material! Afadhali CDM walikuwa wanamheshimu kama mzee na kumpa nafasi ya kushauri, kusema etc.

Sent using Jamii Forums mobile app
Then what happened he defected back to CCM if he really earned much respect and advisory role in CDM ? Ni vigumu sana ku analyse wanasiasa wa Tanzania, but very simple to do postmortem of their aftermath and eventualities.
 
Simple, wanakuwa moved na madaraka, kupata, kuhifadhi mali zao na si welfare ya watu wao. Anakuja CDM kwa vile atapata kuwa rais, akikosa na wakati huo CCM wamemkalia kooni kumpeleka mahakamani money laundering, uhujumu uchumi, kumfilisi mashamba, biashara zake, TRA, uhamiaji.

What then next? Kurudi CCM kunusuru mali zake. Ndiyo maana nasema Mbowe ni determined man to have upinzani advanced to lead the nation! naye angalikuwas kibaraka wa CCM akapeta na mali zake! Magufuli anatumia nguvu ya fedha za umma, vyeo, upendeleo, polisi, jeshi and the like kuwavuta watu as long as they are weak in their objectives!
This is my outlook, I might be wrong!
 
Nasikia siku 7 iliyopewa kamati yamaadili itawang'oa vigogi Fulani na nafasi zao zinajazwa hivi
(1) F sumaye makamu mwenyekiti ccm bars
(2) C mwambe katibu mkuu ccm
(3) P mayalla msemaji was ccm
Mtabisha ila Subirini
 
Back
Top Bottom