Habari waluu,Habarini za muda, kwa wajuzi wa kujenga ni kipindi au muda mwezi gani hali ya hewa ni nzuri kufanya ujenzi (January, February, March, April, may, June, July, August, September, October, November, December)
Karibuni kwa mtazamo wenu.
Location ni Dar es Salaam
Shukrani mkuuHabari waluu,
Kimsimgi ujenzi ni wakati wowote, tena masika inakuwa nzuri saana kwani hupunguza gharama na usumbufu japo baadhi ya maeneo upatikanaji wa mchanga waweza kuwa issue kwa udogo.
Wakati huu wa masika matumizi ya maji ni kifogo sana,na hupunguza gharama.
Wakati wa masika watu wengi huwa kwenye kilimo na pirikapilika nyingi na kufanya shughuli za ujenzi kupu gua, hivyo mafundi wanakuwa benchi kwa muda mrefu,hii huwafanya mafundi kuhitaji kazi ,so ukiwakuta benchi unaweza kuwapata kwa Bei kidiogo.
Kuna mtu anaweza kusema mjini nako kilimo kipo?
Miji mikubwa inalishwa na miji midogo/vijiji, wafanya biashara wa mjini hupata mazao kwa uchache kutokana na upatikani.
Ndo maana hata sisi UVIMO tumetoa ofa ya punguzo za ujenzi, finishing,kupaua, kuchimba mashimo na mifumo ya maji Safi na taka kwa kuzingatia sababu hii.
Hii ni kuepuka kukakaa muda mwing bila kazi.
Hapa chini ni kazi inayo endelea (14-Feb-21) hapa Chamazi
Mkuu, UVIMO tunaomba hiyo kazi, tutalifanyia bei rafiki kwa muda mfupi utakabidhiwa kazi yako na TUTAKUACHIA FURAHA.
Tafadhali tuwasiliane
0753961896
0629361896
.View attachment 1676973
Boss, karibu sana katika chama cha wababa wanaojenga. Mimi niliona nijenge miezi michache kabla mvua hazijaanza ili zinisaidie kumwagilia na kukomaza kuta na msingi.Kwaiyo mkuu mwezi wa pili naweza kuanza bila shida yeyote ya mvua kwa Dar es salaam???
Boss, karibu sana katika chama cha wababa wanaojenga. Mimi niliona nijenge miezi michache kabla mvua hazijaanza ili zinisaidie kumwagilia na kukomaza kuta na msingi. Anza mwezi ambao unakaribia na mvua hivi mvua zitamwagilia nyumba yako itakomaa vizuri sana, kumbuka pia nyumba inabidi inywe sana maji hasa kifusi utakachoweka ndani, hivyo vizia muda niliosema.
Ambao ni mwezi upi mkuu???? Ebu niambieBoss, karibu sana katika chama cha wababa wanaojenga. Mimi niliona nijenge miezi michache kabla mvua hazijaanza ili zinisaidie kumwagilia na kukomaza kuta na msingi. Anza mwezi ambao unakaribia na mvua hivi mvua zitamwagilia nyumba yako itakomaa vizuri sana, kumbuka pia nyumba inabidi inywe sana maji hasa kifusi utakachoweka ndani, hivyo vizia muda niliosema.
Ambao ni mwezi upi mkuu???? Ebu niambie
SarujiUnajengea saruji au matope?? Tuanzie hapo kwanza
Ilo Ni kweli,Hichohicho nasikiaga gharama zinakuwaga nafuu sana tofauti na miezi mingine.
Wajuzi watakupa taarifa zaidi.
Achana na jamaa aliyekuambia eti masika. Wakati wa mvua kila kitu hasa matofali, mawe, mbao nk vinakuwa juu sababu usafirishaji wake, uaandaaji wake nk unakuwa uko juu sana. Mfano matofali yasipofunikwa yanaharibika, barabara za misituni mbao na mawe nk vinapopatikana zinakuwa mbovu. Zaidi ya hayo, hata kazi zako zinawexa haribiwa na mvua mfano zege BICHI nk. Pia mafundi hawataweza fanya kazi kwenye mvua. Na kazi itazorota sana.Habarini za muda, kwa wajuzi wa kujenga ni kipindi au muda mwezi gani hali ya hewa ni nzuri kufanya ujenzi (January, February, March, April, may, June, July, August, September, October, November, December)
Karibuni kwa mtazamo wenu.
Location ni Dar es Salaam
Maji na mchanga ni baada ya mvua kuisham sio wakati wa hizo mvua mkuu.Ilo Ni kweli,
1.Kipind iki material zinauzwaga Bei rahisi maana mzunguko wa biashara unakuaga mdogo.
2.Pia, mafundi wanafanya kazi kwa Bei rahisi sababu kazi za ujenz zinakua chache.
3.upatikanaji wa maji na mchanga unakua rahisi zaidi sababu ya mvua zinazonyesha.
4. Cement inashika vizur zaidi sababu ya unyevu unyevu unyevu wa kutosha.
Simenti kushika si unamwagilia tu maji MENGI matotali?Ilo Ni kweli,
1.Kipind iki material zinauzwaga Bei rahisi maana mzunguko wa biashara unakuaga mdogo.
2.Pia, mafundi wanafanya kazi kwa Bei rahisi sababu kazi za ujenz zinakua chache.
3.upatikanaji wa maji na mchanga unakua rahisi zaidi sababu ya mvua zinazonyesha.
4. Cement inashika vizur zaidi sababu ya unyevu unyevu unyevu wa kutosha.
Ansante mkuu watu wanasikia cement inahitaji kumwagilia sana basi wanaona mvua ndokiboko yani mtu ujenge nyumba halafu gharama zakunyeshea zikusumbue nafikiri kama kitu hukijui bora ukatulia ili ujifunze nikweli kunafaida wakati lakin hasara nikubwa zaidiAchana na jamaa aliyekuambia eti masika. Wakati wa mvua kila kitu hasa matofali, mawe, mbao nk vinakuwa juu sababu usafirishaji wake, uaandaaji wake nk unakuwa uko juu sana. Mfano matofali yasipofunikwa yanaharibika, barabara za misituni mbao na mawe nk vinapopatikana zinakuwa mbovu. Zaidi ya hayo, hata kazi zako zinawexa haribiwa na mvua mfano zege BICHI nk. Pia mafundi hawataweza fanya kazi kwenye mvua. Na kazi itazorota sana.
Kwa hio wakati wa kiangazi ni mzuri zaidi. Japo kwa kazi za cement itabidi baada ya kukauka masaa 24 ya mwanzo, umwagilie sana sababu jua nalo linavuruga uimara wa cement. Mvua inaharibu masaa 24 ya mwanzo tokea zege limwagwe.
Naongelea siment ya kujengea na kupiga plasta(lipu)Simenti kushika si unamwagilia tu maji MENGI matotali?
Hapana mkuu,Maji na mchanga ni baada ya mvua kuisham sio wakati wa hizo mvua mkuu.
Sijaongelea utegemee mvua kunyeshea ukuta ili upate uimara.Ansante mkuu watu wanasikia cement inahitaji kumwagilia sana basi wanaona mvua ndokiboko yani mtu ujenge nyumba halafu gharama zakunyeshea zikusumbue nafikiri kama kitu hukijui bora ukatulia ili ujifunze nikweli kunafaida wakati lakin hasara nikubwa zaidi