Samweli Mathayo
JF-Expert Member
- Aug 1, 2017
- 1,577
- 1,700
Tanzania imekuwa na wanasiasa waongo waongo sana,
Alisikika akisema "kipindi tuko vitani Kagera walirusha bomu isingekuwa umairi wangu wengi wangeumia maeneo Yale"
Kumbe muongo hakuwepo hata hakufika Kagera, huyu Mzee huyu,
"Lowassa ni fisadi " alisema Mbowe baadae akasema "Lowassa alisingiziwa,
"Tutashitakiwa MIGA convention, " uongo wa Lissu
Je we unakumbuka nani alikudanganya live ukagundua?