Ni Mwanamke gani mwengine anaeweza kumfikia huyu ?

Sikutarajia kusikia kitu kama hiki maishani mwangu.JF kiboko na huyo mama mwisho wa reli..hakuna tena.
 
Hapana, hapana, hapana! Mie hapana asee nna hakika sina huo ujasiri... Sina..

Mi nadhani ukilishwa NENO ipasavyo utaweza, alafu SL bado nafanya mchakato wa zawadi gani MAALUMU kwa taskwork ulioifanya juu yangu hadi nikamdaka , nikadaka Aple (TUNDA ) Sina haja ya kulitaja kwani mbali ya kua linajitambua lenyewe , hata Mods wana habari ya umilikaji wangu wa Tunda hilo.
Subiri zawadi .
 
Hakuna cha neno hapo shem...ni roho ngumu iliyopitiliza...

Hehehe naisubiria zawadi yangu shem..
 
Sikutarajia kusikia kitu kama hiki maishani mwangu.JF kiboko na huyo mama mwisho wa reli..hakuna tena.

Kama hukuwahi sikia leo umesikia, zingatio hapa ni "Aliyekupa (Mungu) ametwaa!
Mungu akitwaa hajakuonea ! Kapitisha mapenzi yake.
Huyohuyo Mungu kakupa riziki ya kua na mume (kwani kuna wanawake wangapi wanataka kuolewa na hawajafanikiwa kupata waume ?)
Na Mungu amekuelekeza kumpa unyumba mumeo si msaada ni haki yake !
So far haki 1 haivunji haki nyingine.
 
Hebu nyamaza asee manake hakunaga hicho unachosema daaah...
 
nyoosha ya Yaeda wewe....

Shem , kuna siku tutazuka huko , Mungu akipenda nna imani Husniy nikamshauri tuje hatonivunja.
Na kuhusu jifti wala usikonde na wewe unahusika nawaandalieni .
 
Duh! Mi nisingeweza.

My Tunda , nimefurahi kukuona hapa na nimeutambua uwepo wako kwa taadhima kubwa.
Back to topic :
Hata ukishindwa bado hutolaumiwa kwani kl mtu ana KB za capacity ktk kuhimili matukio.
 
uzushi mtupu...hapa JF ni kwa watu wazima,sio kwa watoto mnaowadanganya na peremende....hamna hata haya kha...?
 
Back
Top Bottom