Ni mwanafalsafa gani wa sheria anayekuvutia kuliko wote?

MALCOM LUMUMBA

JF-Expert Member
Jul 26, 2012
17,445
2,000
Ukisoma Jurisprudence au wale waliofanya Legal Theory ni mwanafalsafa gani ambaye unamuelewa sana?

Binafsi mimi nawaelewa sana hawa wafuatao:

1. Professor Oliver Wendell Holmes

2. Professor Ronald Dworkin

3. Professor Hans Kelsen

4. Professor Lon Fuller

5. Professor Herbert Lionel Hart

ChamaDola
 

Eng temu

Senior Member
Nov 24, 2016
143
225
Ukisoma Jurisprudence au wale waliofanya Legal Theory ni mwanafalsafa gani ambaye unamuelewa sana?

Binafsi mimi nawaelewa sana hawa wafuatao:

1. Professor Oliver Wendell Holmes

2. Professor Ronald Dworkin

3. Professor Hans Kelsen

4. Professor Lon Fuller

5. Professor Herbert Lionel Hart

ChamaDola
Hao wote chenga tuu, Plato ndiye mwisho
 

MALCOM LUMUMBA

JF-Expert Member
Jul 26, 2012
17,445
2,000
malcolm Lumumba waweza nipa wanafalsafa wazuri kwenye civil cases and procedures?

Mkuu mtafute Dinshah Fardunji Mulla wengi wamosomea vitabu vyake wanasema ni mzuri.
Nakumbuka wakati nasomo Civil Procedure tulishauriwa sana tumsome Mulla.
Japo mimi Civil Procedure siyo sijaifanyia mazoezi mengi sana.

Ila kama unataka kuwa vizuri komaa na makesi mengi ya Uingereza na India (Hasahasa India) kwasababu siku hizi ndizo nchi mbili ambazo wanasheria wengi wa Tanzania hupenda kutoa mambo kwao.
BTW Sheria zao za Civil Procedure zinafanana sana na zetu.
 

Dragoon

JF-Expert Member
Nov 24, 2013
7,029
2,000
J. Hage, J. J. Rousseau, Benjamin Cardozo, Sir Rupert Cross, Justice Holmes Hans Kelsen, H. L. Hart, David Hume, John Austin, Lon Fuller, Locke na Montesque. Hawa jamaa sichoki kuwapenda. wananipagawishaga sana tu
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom