Huko Uganda Wachina wako mbioni kuuchukua uwanja wa ndege wa Entebe,kisa mikopo na dili za rushwa za Wachina na asiyesikia asikie, mwenzako akinyolewa wewe tia maji... hili suala la bandari ya Bagamoyo lilishazikwa kwa sababu za mkataba usio na yija kwa nchi,leo hii unahalalishwa na hao hao walioukataa, bila shaka kuna msukumo wa remote ambayo ilikuwa haina battery enzi za jiwe.
 
Hivi wanajisikiaje mtu unastaafu hafu watu uliowaongoza hawataki hata kukusikia masikioni mwao
 
Mimi ninachosema ni kwamba kama Nchi na viongozi wetu TUSIKURUPUKE na Bandari ya Bagamoyo!!

Hiyo Bandari ya Bagamoyo ikijengwa itaua Bandari ya Dar es Salaam! Na kufa kwa Bandari ya Dar es Salaam ndiyo kufilisika kwa Tanzania!

Sasa hivi kutokana na Jiografia ya Maziwa Makuu , China na wengine kwa Tanzania hawana option zaidi ya kutumia Bandari ya Dar es Salaam!

Na Bandari hiyo ndio msingi Mkuu wa mapato na Uchumi wa Tanzania!

Wachina wakijenga hiyo Bandari tusitegemee Meli kutoka China kufika Bandari ya Dar es Salaam, wao ndio wenye bidhaa, Meli na sasa wanataka wawe na Bandari yao ya kuhudumia ukanda huu!

Nani kawaroga viongozi wa Tanzania kiasi cha jambo la wazi kabisa kutoliona hilo!

Hivyo Viwanda mnavyoambiwa watajenga kutoa Ajira ni Viwanda vya nini?!

Yaani Meli zitakuwa zinaleta malighafi kutoka China ili kuzalishia bidhaa Tanzania ?! Au bidhaa zitazalishwa Tanzania kupeleka China?!
Sasa hivi tunazalisha bidhaa zipi tunazopeleka China?!

Hivyo wanavyosema ni Viwanda yatakuwa ni magodown ya bidhaa zao, period!

Nchi hii ni masikini na viongozi wetu pia hawana business mindset, hivyo Wachina wakijenga Bandari yao Bagamoyo ,hata mapato tunayokusanya leo ya Trilioni 1.3 yataporomoka sana na hata watumishi wa Serikali jiandaeni hiyo mishahara mnayolipwa (Wage bill) itashuka sana, Ajira ndo watu wasahau kabisa!

Ingekuwa ni hoja kama tungekuwa kama Nchi tunajenga Bandari yetu sisi ili kusaidiana na Bandari ya Dar es Salaam katika kupokea Meli hizo kubwa za 4th generation!
 
Sukuma Gang bhana wana waya waya kweli.kwa hio kuondolewa kwa kakoko ni dhambi?kwani kipindi cha Jiwe wameondolewa wangapi ofisini?ilikuwa kwa sababu ya nongwa au?
Halafu kwann Jiwe hakuupeleka bungeni huo mkataba ili ukajadiliwe tuone madhaifu yake?
Kwann pia hakupeleka bungeni Ujenzi wa uwanja wa chatto ili upitishwe bungeni na wabunge?
Kwa nn hakupeleka bungeni ununuzi wa ndege?daraja LA busisi?
Mnachotaka tuamini ninyi Sukuma gang ni kuwa Jiwe alikuwa Malaika ambae hakukosea chochote ktk uongozi sorry utawala wake kitu ambacho sio kweli.
Tungeshirikiana wote kipindi kile kuhoji kuhusu manunuzi ya kiserikali kufanyika pasipo bunge tungeungana na ninyi kipindi hiki hayo mnayotaka yafanyike.
Vinginevyo tunaona kama ni Chuki tu binafsi na wivu wa kike sababu hamko kwenye mfumo basi.
Mantiki ya kijinga sana, kama siyo ya kipumbavu!
 
Ingekuwa ni hoja kama tungekuwa kama Nchi tunajenga Bandari yetu sisi ili kusaidiana na Bandari ya Dar es Salaam katika kupokea Meli hizo kubwa za 4th generation!
Nilikuwa natafuta mstari huu mmoja tu kwenye andiko lako lote!
Sasa tueleze kwa nini haiwezekani kufanya hivyo ulivyogusia hapo!

Watu akili zote zimelalia kwa wachina kiasi kwamba hawafikirii kitu kingine chochote, kwa nini?
 
Mimi ninachosema ni kwamba kama Nchi na viongozi wetu TUSIKURUPUKE na Bandari ya Bagamoyo!!

Hiyo Bandari ya Bagamoyo ikijengwa itaua Bandari ya Dar es Salaam! Na kufa kwa Bandari ya Dar es Salaam ndiyo kufilisika kwa Tanzania!

Sasa hivi kutokana na Jiografia ya Maziwa Makuu , China na wengine kwa Tanzania hawana option zaidi ya kutumia Bandari ya Dar es Salaam!

Na Bandari hiyo ndio msingi Mkuu wa mapato na Uchumi wa Tanzania!

Wachina wakijenga hiyo Bandari tusitegemee Meli kutoka China kufika Bandari ya Dar es Salaam, wao ndio wenye bidhaa, Meli na sasa wanataka wawe na Bandari yao ya kuhudumia ukanda huu!

Nani kawaroga viongozi wa Tanzania kiasi cha jambo la wazi kabisa kutoliona hilo!

Hivyo Viwanda mnavyoambiwa watajenga kutoa Ajira ni Viwanda vya nini?!

Yaani Meli zitakuwa zinaleta malighafi kutoka China ili kuzalishia bidhaa Tanzania ?! Au bidhaa zitazalishwa Tanzania kupeleka China?!
Sasa hivi tunazalisha bidhaa zipi tunazopeleka China?!

Hivyo wanavyosema ni Viwanda yatakuwa ni magodown ya bidhaa zao, period!

Nchi hii ni masikini na viongozi wetu pia hawana business mindset, hivyo Wachina wakijenga Bandari yao Bagamoyo ,hata mapato tunayokusanya leo ya Trilioni 1.3 yataporomoka sana na hata watumishi wa Serikali jiandaeni hiyo mishahara mnayolipwa (Wage bill) itashuka sana, Ajira ndo watu wasahau kabisa!

Ingekuwa ni hoja kama tungekuwa kama Nchi tunajenga Bandari yetu sisi ili kusaidiana na Bandari ya Dar es Salaam katika kupokea Meli hizo kubwa za 4th generation!
Mm huwa nawashangaa viongozi wanaowashabikia wachina na vimacho vyao vidogo, hawa wachina siyo watu ni makatili na hawana huruma,, huku mkoani kuna kipindi wachina mara wamewapiga wabongo, mara kapigwa mtu na fimbo, mpaka wenyewe kwa wenyewe wanapigana kisa you hela tena kwenye ardhi ya mtu mweusi,,
Najua tunaporwa fedha zetu nyingi kupitia yale madubwasha yao ya kamari (mabonanza)
 
Mimi ninachosema ni kwamba kama Nchi na viongozi wetu TUSIKURUPUKE na Bandari ya Bagamoyo!!

Hiyo Bandari ya Bagamoyo ikijengwa itaua Bandari ya Dar es Salaam! Na kufa kwa Bandari ya Dar es Salaam ndiyo kufilisika kwa Tanzania!

Sasa hivi kutokana na Jiografia ya Maziwa Makuu , China na wengine kwa Tanzania hawana option zaidi ya kutumia Bandari ya Dar es Salaam!

Na Bandari hiyo ndio msingi Mkuu wa mapato na Uchumi wa Tanzania!

Wachina wakijenga hiyo Bandari tusitegemee Meli kutoka China kufika Bandari ya Dar es Salaam, wao ndio wenye bidhaa, Meli na sasa wanataka wawe na Bandari yao ya kuhudumia ukanda huu!

Nani kawaroga viongozi wa Tanzania kiasi cha jambo la wazi kabisa kutoliona hilo!

Hivyo Viwanda mnavyoambiwa watajenga kutoa Ajira ni Viwanda vya nini?!

Yaani Meli zitakuwa zinaleta malighafi kutoka China ili kuzalishia bidhaa Tanzania ?! Au bidhaa zitazalishwa Tanzania kupeleka China?!
Sasa hivi tunazalisha bidhaa zipi tunazopeleka China?!

Hivyo wanavyosema ni Viwanda yatakuwa ni magodown ya bidhaa zao, period!

Nchi hii ni masikini na viongozi wetu pia hawana business mindset, hivyo Wachina wakijenga Bandari yao Bagamoyo ,hata mapato tunayokusanya leo ya Trilioni 1.3 yataporomoka sana na hata watumishi wa Serikali jiandaeni hiyo mishahara mnayolipwa (Wage bill) itashuka sana, Ajira ndo watu wasahau kabisa!

Ingekuwa ni hoja kama tungekuwa kama Nchi tunajenga Bandari yetu sisi ili kusaidiana na Bandari ya Dar es Salaam katika kupokea Meli hizo kubwa za 4th generation!

Aiseee 🧐🧐
Kongoli nyingi
 
Bandari + gas = kifo cha Magufuri

Wale mazuzu wa ku comment ujinga

TUNAWAKALIBISHA
 
Yaani, haiwezekani Hayati JPM akawa mwongo kwa kila jambo, sasa hivi Melissa kubwa zinaingia DSM Port na mapato yanaongezeka na hii ndiyo maana ya mikopo aliyochukua ishaanza kuzalisha mapato, tumeona Mtwara na Tanga pia...sasa hata Tanga iliyolemaa kwa muda mrefu sasa inaanza kuona mwanga, pia tunajenga SGR sasa unaua Bandari ya DSM alafu bado unajenga Reli inasikitisha sana kwa kweli. Tumeona madhara ya mikopo ya china kwa nchi nyingi Afrika na Dunia kwa ujumla. Hatupaswi kupuuzia hili kuuza uhuru wetu wenyewe itakuwa ni matusi kwa wazee wetu walioupigania. Si vibaya kugeuka nyuma Rais Samia embu geuka nyuma tuwekeeni mkataba wazi, nchi hii away ya tatu na nne ziliongoza mikataba mibovu sahivi migodi mikubwa siyo yetu gesi mtwara siyo yetu na sasa tunaelekea kuuza bandari.

Sasa nielimishwe km njia hizi zote kuu za mapato yakihodhiwa na wabinafsishaji kwa pasipo na win win situation, je nini kitakuwa chanzo cha mapato?
 
Kakoko aneeleza hapo ticks ilikuwa inaingiza Dora million 7 Kwa mikataba ya kijuha ya awamu Ile Kwa juhudi za Magufuli alipambana wakaanza kutulipa Dora million 14 mara mbili ya hawa vichwa boga wanaopambania hii bandari .ndo maana hatuhoji uzarendo wake against wa hawa madalali wa kutuuza tukiwa hai. Anaebishi alete mikataba ya gasi hapa na acompee tulichokuwa tunapata kwenye madini
 
Back
Top Bottom