Ni Mwakyembe au Magufuli kupewa wizara ya Maliasili na utalii

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,868
Source Jambo Leo

Imesemekana kuwa kwa kuwa Jk karudi yoka USA kuchunguzwa afya sasa wapambe wake wanasema inawezekana wizara ngumu iliyomwondoa Kaghasheki kuna hati hati kupewa Dr. Maghufuli au Dr. Mwakyembe kutokana na utendendaji wao au ikishindikana atarudishwa bwana Maige
 
Ccm tegemeo lao ni watu wawili Mwakiembe na Magufuli wengine ni Wafia chama tu.
 
as long as the main poacher kinana is alive,hata awekwe nani pale patamshinda.
 
HIYO WIZARA ITAZIDI KUWAHARIBIA CV MAWAZIRI WA WIZARA HIYO HATA KAMA ATAWEKWA NANI, KWA SABABU WANAOIHARIBU WIZARA NI WALE MAKADA WATIIFU WA CHAMA CHA MAPINDUZI.Hakuna waziri atakayebaki salama atakayepewa hii wizara.
 
Back
Top Bottom