Ni mwaka wa 3 sijaangalia TV! Wageni wanashangaa kutokuta TV nyumbani kwangu!

Kama una familia, utakua una PhD ya ubinafsi
Si ubinafsi mkuu,

Kila ukirudi unakuta kuna kitu kimeharibika, Mara kimoja wapo kimeungua, ukiangalia unowaacha home ni watu wazima na ndevu zao, Mara rimoti imepotea

Nikaona kuongea sana isiwe tabu nitaambiwa nna gubu bure,

Kingine hawataki kufanya kazi kukicha kwenye TV hadi SAA 8 usiku

Sasa hivi wanasoma namba, na hakuna anayeshinda hme,
 
TV na radio vinatakiwa viwepo unaweza ukakaa hata miezi usiangalie ila isipokuepo ni tatizo hapo sio bure
 
Si ubinafsi mkuu,

Kila ukirudi unakuta kuna kitu kimeharibika, Mara kimoja wapo kimeungua, ukiangalia unowaacha home ni watu wazima na ndevu zao, Mara rimoti imepotea

Nikaona kuongea sana isiwe tabu nitaambiwa nna gubu bure,

Kingine hawataki kufanya kazi kukicha kwenye TV hadi SAA 8 usiku

Sasa hivi wanasoma namba, na hakuna anayeshinda hme,
Tatizo unalo wewe mkuu!umeshawahi kujiuliza mbona nyumba zingine hawafanyi hivyo au watu hao hao wakienda nyumba zingine mbona hawaharibu?
 
Tatizo unalo wewe mkuu!umeshawahi kujiuliza mbona nyumba zingine hawafanyi hivyo au watu hao hao wakienda nyumba zingine mbona hawaharibu?
Mkuu kwanza me msela,

Ila nimtu ninayependa sana familia au watu

Ndio maana ninao wengi tu kwangu, na wengine walishapita

Hawa nilionao safari hii pasua kichwa,

Ni watu wazima wanaweza tia mimba na wengine kuzaa, kwann nisemezane nao kila muda?

Walikuwa wakienda kienda kwa ndg wengine hawakai wanakimbilia kwangu, nilipogundua ikabidi nibadilishe sheria na taratibu,

Atayeshindwa kuishi bila TV akaanzishe life yake anunue vyake, wasinichoshe,
 
Kama ni ndugu tu sio watoto wako nimekuelewa
 
Ndio ni shida mkuu. Kwa ulimwengu huu nyumba lazima ipendeze tena kwa vitu latest.
wengine wajasiria mali wa maporini miezi mtu uko porini unasaka mahela mererani au kwenye mbaazi na ufuta huko ukirudi home umekaa sana siku 2.na tv za sikuhizi hazikamiliki mpaka uwe na king'amuzi kinyume cha hapo itakywa kama pazia tu waste of resource bora kununua music system hifi kuliko tv kama huna muda wa kuweka tako home
 
Jamani, mie ni kitambo sana nimeshaacha kuangalia TV. Yani kuona TV labda niwe bar au kwa jirani.
Sasa wageni wengi wakija kwangu wanashangaa kutokuta TV. Kwani kuna shida kutokuwa na TV?
Hata mimi sikumbuki mara ya mwisho nikiangalia TV lini, maana nyumbani hamna TV.
 
Back
Top Bottom