Venant Ben
Senior Member
- Nov 29, 2010
- 155
- 10
Mi 24, Nikita, Human target, PB, Lost, FlashForwad, The V, Vampire Diaries, The Event, How I met your Mother, Are we there Yet, Legend of the Seeker.., La revancha:love::love:
Mbimbinho hapo katika red umenigusa sana,yani saluti,mana hizo 5 mimi pia nafuatilia ondoa 24 ambayo imekwisha,but nayo niliangalia mpaka ya mwisho aisee,kama upo dar ntaku pm mkubwa,mana nahisi wewe ni addicted wa haya mambo tena kuliko hata mimi!