Ni muhimu kuwachunguza wasichana mnaowaoa. Vijana wengi wanaoa wadangaji

instagram

JF-Expert Member
May 27, 2014
2,091
4,716
Mimi kuna siku niliondoka na msichana club nikalala nae kufika asubuhi akanidai hela yake tena kwa timbwili kabisa nikampa hela kidogo nikamuambia mbona jana usiku huukusema kama unaniuzia

Basi kuna siku niko na masela wangu maeneo ya kujidai jamaa moja mdau wa msela wetu moja akaingia na demu wake akamtambulisha kuwa ni mchumba wake na wako kwenye mchakato wa ndoa

Dah hamad yule binti kuniangalia tu alibadilika aligoma kabisa kugeukia upande wangu kabaki kama ana matatizo ya shingo haizunguki

Muda mfupi mdau na demu wake wakaaga wakaondoka ikabidi masela wanikazie wakaniambia hebu tuambie una jambo gani na huyo mchumba wa msela mbona kama kuna tension kati yenu. Ikabidi niwambie ukweli masela kwamba uyo demu aliniuzia papuchi club.
 
Wadangaji wengi tu wapo hadi majumbani watu wameweka ndani kabisa,,,, ukiona mwanamke ukimpa pesa akanunue kitu halafu kurudisha chenji mpaka umkumbushe wakati bajet ya matumizi ipo na vitu vingine vidogovidogo jua umeoa mdangaji.

Imeisha hiyo
 
Unakuta mdangaji uko nae sita kwa sita anakuambia eti hatoi 0713 eti anataka aje kuwa na familia baadae eti akitoa 0713 atashindwa kuzaa. Yaani yupo kazini apo na ana mpango wa kuolewa na kuna mtu atakuja kumuoa utasahangaa.
 
Mimi huwa simwamini mwanamke hata siku moja, na siwezi kuvimba et nimepata demu sahihi lahasha!!! Naangalia mapenzi kwa mrengo wa maisha siyo tamaa za mwili.

My woman is my friend not my lover,,, my lover is my mum because she looked after me since day one. Siyo mwanamke et anajifanya anakujuaaa,,,, bullshit.
 
Mama atalea atafika hatua ataacha

Kazi kwetu wanaume kuchagua hapa mama hata kuwepo 7bu anajua moyo una nguvu zaidi

Chaguo lako sio lazma liwe sahihi sana ila angalau liwe na unafuuu
 
Unachukua gal club alafu uanataka useme huyo ni material unataka uoe! Kama Ed sheeran anavyo sema "The club isn't the best place to find a lover, So the bar is where I go" acha na mm niende bar
 
Mama atalea atafika hatua ataacha

Kazi kwetu wanaume kuchagua hapa mama hata kuwepo 7bu anajua moyo una nguvu zaidi

Chaguo lako sio lazma liwe sahihi sana ila angalau liwe na unafuuu

Kuna mabinti tunawaona wako majumbani kwao wanajitunza, wanarudi mapema, wanapika, wanafanya usafi ila utashangaa tunakimbilia huko ambako wapo wengi usiku wamejiachia mikorogo matatuu, vimini ndo tuko busy kuwafukuzia hukohuko hadi kuishia kuwaoa.
 
Bar kuna watu wastaabu kushinda club sijui unajua hili kwanza? Alafu ukizungumzia wahudumu kwahiyo na ww uliondoka na yule stripper eeh? Kama ni huyo futa uzi sasa hivi hapa.

Sijajua mkuu, unasema kila anayeenda club ni atripper?
 
Kuna demu mtaani aliniuliza unataka niwe mpenzi wako au nakuja unanipa hela?
Nilichoka maana ni demu nilikuwa namlia timing muda mrefu, kumbe muuzaji!
 
Back
Top Bottom