Hii ni dhana pana zaidi na ulinzi si lazima uwe na mbwembwe za misafara mikubwa na migari yenye mitambo ya mawasiliano kila kona
Mkuu mshana jr njoo na mada ya kuomdoa mauzauza ya ndani ya nyumba, majumba yetu yanahitaji ulinzi. Hapa naongelea nimejenga nyumba kumbe pale nilipojenga makaazi ya majini kwahio wameamua kuishi ndani ya nyumba ilio jengwa.
Lunatic
Mchakato wa kumpata mkuu wa nchi ni mchakato wenye gharama kubwa. Na anapopatikana mmoja basi jukumu kubwa la kwanza ni afya yake na ulinzi wake!
Kama vile hakuna binadamu anayekosa rafiki, vilevile hakuna binadamu anayekosa adui na rais wa nchi si malaika wala kizuka.. Rais ni binadamu hivyo hata awe mwema vipi hawezi maadui kwakuwa hawezi kuwafurahisha wote ukiachana ma wale 'natural haters' chuki bila sababu!
Kila awamu mpya ya mtawala yeyote yule huja na miongozo mipya ambayo huweza kuathiri makundi fulani kwenye jamii. Athari hizo huwa za matokeo hasi ama chanya! Kuna makundi faidika ambayo huwa kwenye kila awamu ya utawala. Ni makundi haya ambayo awamu ya utawala inapobadilika huwa kwenye hatihati ya kuendelea kula bata kama mwanzo! Haya makundi ndio huwa hatari sana kwa awamu mpya hasa yakiona yanatengwa na kuwekwa pembeni.
Mabadiliko ya kiutawala ngazi ya juu yalitujia kwa ghafla na bila kutarajia na ni katiba pekee iliyosimamiwa kikamilifu ndio iliokoa dhahama kubwa! Lakini ni wazi kuna kundi kwa maslahi binafsi lilitaka kupindua meza. Tuhuma hii haijawahi kukanushwa wala kuthibitishwa popote na yoyote! Imebaki kuwa minong'ono yenye asili hai na inayozidi kupata nguvu kila uchao.
Mabadiliko ya kiutawala yameligusa vilivyo kundi tuhumiwa. Ni wazi halifurahishwi hata chembe na yanayoendelea kwasasa.. Kuna hisia za mapinduzi makubwa yanayofanywa na awamu mpya. Na mapinduzi haya ni mwiba mkali kwa makundi faidika ya utawala ulopita.
Kwenye cycles za ulinzi wa viongozi wakuu kuna cycles kama sita au saba hivi
Hizi cycles zote huchujwa kwa umakini na weledi wa hali ya juu mno kwakuwa kwa saa 24, siku saba za wiki na miezi 12 ya mwaka ndio zinahusika na afya na ulinzi wa kiongozi mtawala mkuu.
- Ulinzi wa kisayansi na kielectroniki
- Ulinzi wa usalama wa nchi
- Ulinzi wa majeshi
- Ulinzi askari polisi
- Ulinzi wa jeshi la akiba
- Ulinzi wa kiroho
- Ulinzi wa askari kanzu na maafisa vipenyo
Kwa hali hii kama si kuboresha basi ni muhimu kumuogezea kiongozi mkuu ulinzi wa uhakika zaidi kwakuwa ni kama vile adui kadhamiria kutenda maovu ama kukwamisha juhudi chanya za uongozi wa awamu mpya.
Genge hili na vibaraka wao walioko humu JF hawajamkubali mama kama rais wa JMT wala hawajakubali kuwa hii ni awamu ya sita.Mkuu naunga mkono hoja.
Hasa dhidi ya maadui wa ndani na hasa ndani ya serikali na ndani ya chama mboga mboga.
Lile genge la kikabila ni la kuangalia zaidi kuliko hata ya mabeberu!
Genge hili na vibaraka wao walioko humu JF hawajamkubali mama kama rais wa JMT wala hawajakubali kuwa hii ni awamu ya sita.
Iwapo likitokea lolote basi mkumbuke mimi niwe raisi ajae!!!Ni vema tulizingatie hili andiko
Mchakato wa kumpata mkuu wa nchi ni mchakato wenye gharama kubwa. Na anapopatikana mmoja basi jukumu kubwa la kwanza ni afya yake na ulinzi wake!
Kama vile hakuna binadamu anayekosa rafiki, vilevile hakuna binadamu anayekosa adui na rais wa nchi si malaika wala kizuka.. Rais ni binadamu hivyo hata awe mwema vipi hawezi maadui kwakuwa hawezi kuwafurahisha wote ukiachana ma wale 'natural haters' chuki bila sababu!
Kila awamu mpya ya mtawala yeyote yule huja na miongozo mipya ambayo huweza kuathiri makundi fulani kwenye jamii. Athari hizo huwa za matokeo hasi ama chanya! Kuna makundi faidika ambayo huwa kwenye kila awamu ya utawala. Ni makundi haya ambayo awamu ya utawala inapobadilika huwa kwenye hatihati ya kuendelea kula bata kama mwanzo! Haya makundi ndio huwa hatari sana kwa awamu mpya hasa yakiona yanatengwa na kuwekwa pembeni.
Mabadiliko ya kiutawala ngazi ya juu yalitujia kwa ghafla na bila kutarajia na ni katiba pekee iliyosimamiwa kikamilifu ndio iliokoa dhahama kubwa! Lakini ni wazi kuna kundi kwa maslahi binafsi lilitaka kupindua meza. Tuhuma hii haijawahi kukanushwa wala kuthibitishwa popote na yoyote! Imebaki kuwa minong'ono yenye asili hai na inayozidi kupata nguvu kila uchao.
Mabadiliko ya kiutawala yameligusa vilivyo kundi tuhumiwa. Ni wazi halifurahishwi hata chembe na yanayoendelea kwasasa.. Kuna hisia za mapinduzi makubwa yanayofanywa na awamu mpya. Na mapinduzi haya ni mwiba mkali kwa makundi faidika ya utawala ulopita.
Kwenye cycles za ulinzi wa viongozi wakuu kuna cycles kama sita au saba hivi
Hizi cycles zote huchujwa kwa umakini na weledi wa hali ya juu mno kwakuwa kwa saa 24, siku saba za wiki na miezi 12 ya mwaka ndio zinahusika na afya na ulinzi wa kiongozi mtawala mkuu.
- Ulinzi wa kisayansi na kielectroniki
- Ulinzi wa usalama wa nchi
- Ulinzi wa majeshi
- Ulinzi askari polisi
- Ulinzi wa jeshi la akiba
- Ulinzi wa kiroho
- Ulinzi wa askari kanzu na maafisa vipenyo
Kwa hali hii kama si kuboresha basi ni muhimu kumuogezea kiongozi mkuu ulinzi wa uhakika zaidi kwakuwa ni kama vile adui kadhamiria kutenda maovu ama kukwamisha juhudi chanya za uongozi wa awamu mpya.
Kwenye amani ndipo adui hupenyeza kwa urahisi.Tanzania nchi ya amani, na tumezungukwa na marafiki wengi.
Asante kwa mtazamo hasi juu ya hii mada! Lakini kuna mahali hujaelewa ama umepotoka ... Ithibati hutakiwa pale penye tuhuma... Je mimi nimeandika tuhuma?Na wewe umegeuka kuwa watu wa vijiweni
Uandishi wako hauna hoja za msingi zaidi ya umbea na maneno y mtaani. Weka ithibati kwanini unasema hayo unayoyasema.
Asante kwa mtazamo hasi juu ya hii mada! Lakini kuna mahali hujaelewa ama umepotoka ... Ithibati hutakiwa pale penye tuhuma... Je mimi nimeandika tuhuma?
Andishi langu hili hapa usisome kws mazonge tafadhali.. Kama uelewa wako ni finyu sema uelimishweUmeandika tuhuma nyingi labda kama hujasoma vyema ulichoandika. Pamoja na hilo, kigezo chako cha kushawishi mama apewe ulinzi zaidi ni kipi? Kama kuna hatari ainisha hiyo hatari tuipime sote kama ni hatari au ni mawazo yako ya kuamuka asubuh
Andishi langu hili hapa usisome kws mazonge tafadhali.. Kama uelewa wako ni finyu sema uelimishwe
Mabadiliko ya kiutawala ngazi ya juu yalitujia kwa ghafla na bila kutarajia na ni katiba pekee iliyosimamiwa kikamilifu ndio iliokoa dhahama kubwa! Lakini ni wazi kuna kundi kwa maslahi binafsi lilitaka kupindua meza. Tuhuma hii haijawahi kukanushwa wala kuthibitishwa popote na yoyote! Imebaki kuwa minong'ono yenye asili hai na inayozidi kupata nguvu kila uchao.
Kwahiyo umeelewa sasa nilichoandika na sio kile ulichotafsiri mwanzo.. Unajaribu kutaka kujenga hoja nzuri lakini mipasho na vijimaneno vya kipuuzi vinakuangusha.. Jifunze kuwa na majibu yenye adabu na staha utajifunza mengi na kuelimika na mengi pia...Tatizo lako umezoea kuandika mashahiri, matokeo yake unapoteza muelekeo. Kwamba” ni wazi kuna kundi kwa maslahi binafsi lilitaka kupindua meza” Hapa umeweka shutuma na ni bora ulitaje hilo kundi vinginevyo wewe ni msema chochote.
Halafu ukaenda kujificha kwenye pazia la “tuhuma hii haijawahi kukanushwa wala kuthibitishwa“ sasa hujion kama haupo sawa kushauri rais apewe ulinzi kwa minongono ya vijiweni ambayo haijawahi kuthibitishwa wala kukanushwa, ni kitu gani hicho Sasa , we jamaa bana, Kuwa makini na unachoandika sio kila kitu ni shairi au mazingaombwe
Kwahiyo umeelewa sasa nilichoandika na sio kile ulichotafsiri mwanzo.. Unajaribu kutaka kujenga hoja nzuri lakini mipasho na vijimaneno vya kipuuzi vinakuangusha.. Jifunze kuwa na majibu yenye adabu na staha utajifunza mengi na kuelimika na mengi pia...
Kuna kuitwa GT na kuna kuwa GT hivi ni vitu viwili tofauti kabisa
Hapana tayari umeanza kujifunza kitu hapa.. Linganisha replies zako za nyuma na hii hapa..! Kuna tofauti kubwa!Hakika sina cha kujifunza kwako kwa namna yoyote. Bado tunabaki pale pale kwamba hoja zako hazina grounds ya maana juu ya kushauri rais apewe ulinzi wa kutosha kuliko aliokuwa nao sasa. Kwanza unaifundisha idara kazi, na ni dhahiri uliandika hii kitu yako kwa maneno ya vijiweni.