ni muhimu kujua "kipele" cha mwenzako kilipo..

BAGAH

JF-Expert Member
Jan 17, 2012
4,523
1,060
kipele-mahali unaposikia raha zaidi pakiguswa, ni muhimu kupafahamu inasaidia sana katika kumpa raha mwenzi wako!!
ukishapafahamu, tulia hapo hapo!!
pia kama ww mwenyewe unapajua ni vema ukamjuza, asipate shida kupatafta!!
 
Kuambiwa hainogi, bora upatafute mwenyewe...

Lakini wanwake bana wanapenda raha wapewe wao tu mara nyingi.:A S embarassed:
 
Kuambiwa hainogi, bora upatafute mwenyewe...

Lakini wanwake bana wanapenda raha wapewe wao tu mara nyingi.:A S embarassed:
saa ingine kuambiwa inabidi, maana wengine wanajua kujikausha kama kapigwa shoti...unachoka bureee, mwenzio macho makavuu hata hayalegei!!
 
Back
Top Bottom