Ni muhimu kufurahia matunda ya kazi zetu

mbacho massawe

JF-Expert Member
Apr 24, 2016
235
213
Swali:
Je! Ninapaswa kununua vitu vizuri NINAVYOVITAKA ikiwa ninaweza kumudu?

Jibu:
Ndio, lakini panga kwa hilo. Maisha yatakuwa ya ovyo ikiwa tutanunua tu vitu tunavyohitaji tu kama chakula, mavazi na nyumba

Ni muhimu kufurahiya matunda ya kazi zetu. Lakini "pesa za kufujifurahisha" lazima ziwe kipengele cha bajeti katika mpango wetu wa kifedha.
 
Aisee we ni massawe wa wapi,Massawe anauza dukani kwake mikate na mazaga kibao lkn anakunywa chai kikombe kimoja bila kitafunio hizo pesa za kufurahia matunda ya kazi anapata wapi?
 
Dah! Hiyo topic ya maana sana aiiseee! Watu hatujatoka utumwani bado, ni lazma kazi yako uifurahie kwa kununua vitu uvipendavyo haya kwa uchache!
 
Swali:
Je! Ninapaswa kununua vitu vizuri NINAVYOVITAKA ikiwa ninaweza kumudu?

Jibu:
Ndio, lakini panga kwa hilo. Maisha yatakuwa ya ovyo ikiwa tutanunua tu vitu tunavyohitaji tu kama chakula, mavazi na nyumba

Ni muhimu kufurahiya matunda ya kazi zetu. Lakini "pesa za kufujifurahisha" lazima ziwe kipengele cha bajeti katika mpango wetu wa kifedha.
Unakulaje bata na kufanya bajeti kwa wakati mmoja unaingiza million kwasiku au??

Unakula matunda kabla matunda yajaiva inawezekanaje wewe tegemea kula matunda ila utayala mabichi mpaka kufa kwako.
 
Aisee we ni massawe wa wapi,Massawe anauza dukani kwake mikate na mazaga kibao lkn anakunywa chai kikombe kimoja bila kitafunio hizo pesa za kufurahia matunda ya kazi anapata wapi?
Mambo yame badilika mkuu.
 
Unakulaje bata na kufanya bajeti kwa wakati mmoja unaingiza million kwasiku au??

Unakula matunda kabla matunda yajaiva inawezekanaje wewe tegemea kula matunda ila utayala mabichi mpaka kufa kwako.
Lengo lako haswa la kufanya bajeti huwa Ni Nini?
 
Tumia pesa kununua vitendea kazi (friza, mashine mbalimbali n.k) utakuja unishukuru baadaye
 
Back
Top Bottom