Ni muhimu kuacha mtoto kabla ya kufa?

Kaka naona akili yako imekaa katka unachokisikia na sio unachofikilia or wanachofikilia watu.
Ynaonesha unahusudu sana wazungu kulingana na andiko lako
Lakini fikilia ikiwa yanayoongelewa yangekuwa yanafanyika ni vijana wangapi ambao n above 24 hawana watoto kwamba wao hawajui kunakufa watafute watoto wa kuwaacha kama chapa/alama zao...? Usifatishe sana maneno ya watu ukazan ndo maisha yanavyoenda.
Hata wazungu wapo wanaozaa bila mpangilio na wapo wanaofata utaratibu ili kuwa na familia bora. Andiko langu halihusu wazungu ila watu wenye kufikiria kabla ya kuanzisha familia.
 
Sioni ubaya endapo mtu akifa hana mtoto.

So vijana msiforce kuzaa mapema kwa lengo la siku ukifa uache alama... Et usisahaulike mapema, what for??

Weka mipango yako fresh kisha uishi humo. Kifo kisikuharakishe au kisikuharibie mipango yako.
 
Hata wazungu wapo wanaozaa bila mpangilio na wapo wanaofata utaratibu ili kuwa na familia bora. Andiko langu halihusu wazungu ila watu wenye kufikiria kabla ya kuanzisha familia.
Hao wenzetu uliokuwa ukiwazungumzia ni akina nan, na unaposema kunabaadhi basi hata hapa kwetu kunabaadhi si wote tunafikra hzo
 
Hao wenzetu uliokuwa ukiwazungumzia ni akina nan, na unaposema kunabaadhi basi hata hapa kwetu kunabaadhi si wote tunafikra hzo
Ninaowazungumzia mimi si wale walio nchi za nje tu, hata huku nnapoishi porini lakini wapo wenye kufuata utaratibu huu
 
Mtu akifa ana mtoto na mwingne akifa hana utafauti wake ni nini??Mbna wote tunawasahau tu?Mwenzazake tushamsahau nimemkumbuka tu kwa sababy ya hii post na siyo watoto wake.Marehemu anapata faida gani akikumbukwa?
Watu wanakwambia eti unaacha alama. Alama gani? Tukiwauliza kama wanawajua mababu wa mababu zao sijui watasemaje. Ukifa umekufa. Huna lako tena. Utasahaulika tu.
 
Watu wanakwambia eti unaacha alama. Alama gani? Tukiwauliza kama wanawajua mababu wa mababu zao sijui watasemaje. Ukifa umekufa. Huna lako tena. Utasahaulika tu.
Ukiwauliza faida za kukumbukwa kwa hzo alama wanasemaje??🤣🤣🤣🤣
 
Kwa baadhi ya imani zinafundisha kua maombi ya kugusa kutoka moyoni na yasiyo na kipingamizi ni yale ya mzazi kumuombea mtoto wake, ama ya mtoto kumuombea mzazi wake, hivyo Kuna faida ya kuacha mtu atakayekukumbuka na kukuombea usamehewa madhambi yako (kama unaamini Kuna hukumu lakini)

Pia ukiacha mtoto ni sawa umeacha jina lako kwenye kumbukumbu na kama jina lako litakua lakuvutia mdomoni (au la kipekee) basi halitakaa lirukwe hata kizazi cha tano mbele hivyo utajenga koo na jamii pia.

Utapata watu wa kusimamia na kuendeleza ndoto zako., Watoto huamini mawazo ya wazazi wao Ni bora zaidi na yenye manufaa, hivyo ukiwa na plan ya kujenga kiwanda na ukifa kabla hujatimiza azma yako, uwezekano wa kizazi chako kukamilisha ndoto hiyo ni kubwa zaidi ya ndugu wengine.

Ukiacha Mali pia zitakua na msimamizi mwenye uchungu nazo kiasi hata akizitapanya ni kwa upumbavu wake tuu si kwa chuki na kukomeshana Kama ambavyo ndugu wengine wangefanya.
 
Kwa baadhi ya imani zinafundisha kua maombi ya kugusa na yasiyo na kipingamizi Ni yale ya mzazi kumuombea mtoto wake, ama ya mtoto kumuombea mzazi wake, hivyo Kuna faida ya kuacha mtu atakayekukumbuka na kukuombea usamehewa madhambi yako (kama unaamini Kuna hukumu lakini)

Pia ukiacha mtoto umeacha jina na kama jina lako litakua lakuvutia mdomoni basi halitakaa lirukwe hata kizazi cha tano mbele hivyo utajenga koo na jamii pia.

Utapata watu wa kusimamia na kuendeleza ndoto zako., Watoto huamini mawazo ya wazazi wao Ni bora zaidi na yenye manufaa, hivyo ukiwa na plan ya kujenga kiwanda na ukifa kabla hujatimiza azma yako, uwezekano wa kizazi chako kukamilisha ndoto hiyo ni kubwa zaidi ya ndugu wengine.

Ukiacha Mali pia zitakua na msimamizi mwenye uchungu nazo kiasi hata akizitapanya ni kwa upumbavu wake tuu si kwa chuki na kukomeshana Kama ambavyo ndugu wengine wangefanya.
Excellent.
 
Watoto ni muhimu kuwepo huwezi jua kizazi chako kitakavyo endelea waweza kuta huko baadae vitukuuu vyako vikaja kuwa mitume ya baadae,
 
Back
Top Bottom